Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anyway, wadau.. mim ni Mechanical Eng, nipo serikaln lkn nina kampuni changu kinahusika na maintenance, service, na analysis za machines zote viwandan ..
Nina vifaa vyote muhimu vinavyohitaji (ni ghali sana, kiasi kwamba viwanda vinaogopa kununua kutokana pia hakuna anaejua kuvitumia)
Mf moja tu wa vifaa, kuna hii inaitwa SKF microlog analyzer
View attachment 2466872 (mim miaka ya 2015-2016 nilinunua mil 40, ila mpk sasa nimeshairudisha hela yote na faida nying juu) mfano kuna kipindi nilikuwa napost nipo kiwanda kimoja maeneo ya tazara, pale nililipwa zaid ya 30mil kwa siku kumi tu.. nilifanya analysis na service consultations ya machines zote. So kuwa expert na vitu flan na kuwa na vifaa vya kisasa vimeniwezesha kupiga hela nying kwa vitu vidogo vidogo tu ambayo kiuhalisi havihitaji hela nying ila sasa kwa sababu ya bei ya vifaa, bas bei ya service lazima niweke juu
Ni hayo tu wadau
Heheheeeee atokee mkundustan wa ku dispute this but na yeye aweke mambo yake japo kwa ufupi, I dare if there's any kundustanian in this thread has even a motorcycle
 
Heheheeeee atokee mkundustan wa ku dispute this but na yeye aweke mambo yake japo kwa ufupi, I dare if there's any kundustanian in this thread has even a motorcycle
Story nyingine ni hii..
Screenshot_20230102-200431_Chrome.jpg

Angalia education, knowledge na experience

Screenshot_20230102-200653_WPS Office.jpg
hii kampun imetangaza nafas ya PM inspector anaejua kutumia vifaa ambavyo mim ninavyo lkn hakuna walieweza kumpata, wametangaza hio nafas mara mbili nyakat tofauti lkn hawajampata wenye vigezo walivyoweka, hivyo vigezo mim ninavyo.. nikawatafuta, nikawaambia mim niko bongo nimeajiriwa serikaln lkn nina kampun inahusika na hizo kazi hivyo wanaweza kuwa client wangu, wakasema niwaonyeshe kwa picha vifaa nilivyonavyo na kuwatumia certificates za taaluma wanazotaka, baada ya kuwatumia wakakubali niwe nawafanyia maintenance, service na analysis consultations.. nimesain nao deal la mwaka mmoja 2023 la mpunga mrefu sana (kwenda kiwandan mara 3 kwa mwaka, nikienda nakaa kwa wiki moja nzima, kuwasili jtatu na kuondoka jpil) 😀

Uzuri ni kuwa watu/wazungu wapo wengi tu kutoka nje wanafanya hizi kazi ila mipunga yao wanayodai ni mirefu sana mara dufu..watataka uwalipie hotels, misosi, gari kipindi chote wapo nchini kwako kwa gharama za juu sana.. so mim kuwa bongo nachukua hizo requirements kwa kiwango cha chin kidogo yan suala lote la service, accomodation,transport etc.. pia wengi wanakuwa hawaniamin lkn nikiwaonyesha vifaa na certificates wanaanza kuniamin😀
 
Story nyingine ni hii..
View attachment 2466959
Angalia vigezo na kazi

View attachment 2466961hii kampun imetangaza nafas ya PM inspector anaejua kutumia vifaa ambavyo mim ninavyo lkn hakuna walieweza kumpata, wametangaza hio nafas mara mbili nyakat tofauti lkn hawajampata wenye vigezo walivyoweka, hivyo vigezo mim ninavyo.. nikawatafuta, nikawaambia mim niko bongo nimeajiriwa serikaln lkn nina kampun inahusika na hizo kazi hivyo wanaweza kuwa client wangu, wakasema niwaonyeshe kwa picha vifaa nilivyonavyo na kuwatumia certificates za taaluma wanazotaka, baada ya kuwatumia wakakubali niwe nawafanyia maintenance, service na analysis consultations.. nimesain nao deal la mpunga mrefu sana
Baba wakundustan watakufata PM kwa I'd nyingine baba, c unajua jamaa wana tamaa sn

Ila wakundustan walivyo wajinga na shobo ujue kabisa kuanzia leo watakuogopa sn
 
Story nyingine ni hii..
View attachment 2466959
Angalia education, knowledge na experience

View attachment 2466961hii kampun imetangaza nafas ya PM inspector anaejua kutumia vifaa ambavyo mim ninavyo lkn hakuna walieweza kumpata, wametangaza hio nafas mara mbili nyakat tofauti lkn hawajampata wenye vigezo walivyoweka, hivyo vigezo mim ninavyo.. nikawatafuta, nikawaambia mim niko bongo nimeajiriwa serikaln lkn nina kampun inahusika na hizo kazi hivyo wanaweza kuwa client wangu, wakasema niwaonyeshe kwa picha vifaa nilivyonavyo na kuwatumia certificates za taaluma wanazotaka, baada ya kuwatumia wakakubali niwe nawafanyia maintenance, service na analysis consultations.. nimesain nao deal la mwaka mmoja 2023 la mpunga mrefu sana 😀
Hawatokei tena.
 
Nimesema nimeshtuka kuskia 68 units sasa hapo muna assemble kitu gani 🤣🤣🤣🤣 nikakutolea mfano wa GF
We are assembling Mercedes, one of the respected vehicles in the world. Kama unaumwa sana jinyonge.

About quantity, nimekuambia GM wana assemble 10 units per day. Hizo ni magari 300 kwa mwezi. Wewe mnatengeza 50 units kwa mwezi kisha unajiona babe! 😂
 
We are assembling Mercedes, one of the respected vehicles in the world. Kama unaumwa sana jinyonge.

About quantity, nimekuambia GM wana assemble 10 units per day. Hizo ni magari 300 kwa mwezi. Wewe mnatengeza 50 units kwa mwezi kisha unajiona babe! 😂
68 units sasa mume assemble kitu gani au kituko 🤣🤣🤣🤣 inamaana magari yote actros mume assemble 68 units ila wakenya munamatatizo kweli ndio yale yale ya mobius toka mutengeze hata 10 units hazijawah uzika alaf muko kupiga kelele hapa
 
Back
Top Bottom