ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hzo ndio gari zimetapakaa kila kona alaf anataka kutudanganya prado 🤣🤣 au anafkiri sisi wageni kenya
Hzo ndio gari zimetapakaa kila kona alaf anataka kutudanganya prado 🤣🤣 au anafkiri sisi wageni kenya
Bongolala hali yangu shwari kabisa. Heri ya mwaka mpya nawe pia popote ulipo na Mungu akujalie na atimize ndoto zako mwaka huuMkundustan mambo vp, heri ya mwaka mpya bhn.
Maswali niliyouliza hayapo kwenye link uliyoweka. Ndio maana nimeuliza kama uko na majibu utoeNimejupa HDI link usome ba bado unauliza maswali ambayo iko ndani ya hizo link. Wacha kuwa mzembe. Click on the link, soma taarifa upate majibu
Sasa hizo ndio popular kama hajui Prado awaachie mawaziri huko.
Naona unajifriji na picha za Uhuru Park wakati rehabilitation ikiendelea. Panguza machozi sasa 😃😃
Watanzania tukubali tu Ghana imetupita pa kubwa, statistics zote zinaonesha hivyo










Uliuza hiyo assembly plant iko wapi. I told you they partnered with KVM (Kenya Vehicle Manufactures) and this is well stated in the link. KVM inapatikana mjini Thika.Maswali niliyouliza hayapo kwenye link uliyoweka. Ndio maana nimeuliza kama uko na majibu utoe
Yani maongez yako tu yanaonesha yana hasira na machozi ndani yakeikiwa waziri wa kenya ndio wanatumia prado vipi itakua popular kihivo na ikiwa probox na vitz na filder ndio zimejaa over 90%








67 units 😆😆😆 hvi nyinyi mko serious kweli au hua munalazmisha maisha? Ili muonekane muna ahfueni makosa ya mobius ndio haya yanayoendelea hio kampuni toka imeanza haijawah fikisha mauzo ya magari 10 over 6 good yrs sasa sijui hua muna assemble kitu ganiUliuza hiyo assembly plant iko wapi. I told you they partnered with KVM (Kenya Vehicle Manufactures) and this is well stated in the link. KVM inapatikana mjini Thika.
Do I have shots how they are assembling those vehicles? I don't even know what you meant by this. Labda ufafanue
Your last question was how many units they've produced so far. As of September last year (2022), KVM had assembled and sold 67 units. Link ndio hii hapa usome
Uko na swali bado?
Sisi prado ni common SUV yani imekaa kama mikondoo vile kujisifu kwa vitu hakuna mtu anajisifu kashiba kumbe anaugua vidonda vya tumbo karibia kufa









Ukiwasikia au ukaangalia wanachoandika utadhani wote wametokea beverly hills.Yani sijui imekaaje 🤣🤣🤣 ndio maana wachina wanawacharaza viboko kama watoto wa shuleUkiwasikia au ukaangalia wanachoandika utadhani wote wametokea beverly hills.
Unauliza Kama tuko serious? Nyinyi ambao mki serious kutuliko mmetengeneza units ngapi?67 units 😆😆😆 hvi nyinyi mko serious kweli au hua munalazmisha maisha? Ili muonekane muna ahfueni makosa ya mobius ndio haya yanayoendelea hio kampuni toka imeanza haijawah fikisha mauzo ya magari 10 over 6 good yrs sasa sijui hua muna assemble kitu gani
Huwa wanajifanyaga hawaoni. Nyang'au ni nyang'au tu.Yani sijui imekaaje 🤣🤣🤣 ndio maana wachina wanawacharaza viboko kama watoto wa shule
Wakenya mpaka sasa kinachowasumbua ni slavery mentality. Itawasumbua sana hii. Muingereza kawaroga vibaya sana.Huwa wanajifanyaga hawaoni. Nyang'au ni nyang'au tu.
Go google the meaning of SUV upunguze ujinga. Sa ju gari inatumiwa na waziri hio inafanya isiwe popular, una reason kama pumbavu.Yani maongez yako tu yanaonesha yana hasira na machozi ndani yake 🤣🤣 ikiwa waziri wa kenya ndio wanatumia prado vipi itakua popular kihivo na ikiwa probox na vitz na filder ndio zimejaa over 90%
Prado is the most popular SUV in Kenya. Kama vile IST ni popular huko dar is a slum hivyo ndio Prado iko popular in Nairobi.
Dar is a slum all skyscrapers are owned by the government, ndio maana hakuna fireworks display.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


