Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is so lonely in the region.
tapatalk_2115527180_512x512.jpg
 
Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Dar es Salaam imetangaza kulifunga Daraja la Tanzanite kwa siku nane kwa ajili ya maboresho ya kuwekwa nembo ya Tanzanite.

Kulingana na taarifa kwa umma iliyotolewa jana Jumamosi, Desemba 31,2022 na Tanroads daraja hilo litafungwa kuanzia kesho Jumatatu Januari 2, 2023 saa 12 asubuhi na kufunguliwa Januari 9, saa 12 asubuhi.
“Katika muda wote wa maboresho hayo, daraja hili halitatumika kwasababu za kiusalama hivyo Tanroads mkoa wa Dar es Salaam inawashauri watumiaji wa daraja kutumia barabara ya Kaunda na Ali Hassan Mwinyi,” imeelezwa kwenye taarifa hiyo.

61249160_101.jpg
 
Safi.
 
Ile siku ka Nairobi katapata infrastructures kama hizi ndio siku dunia inaumbwa upya, Utopia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1087282382_512x384.jpg
tapatalk_-1140237428_512x384.jpg
tapatalk_-911386448_288x512.jpg
tapatalk_-2122981095_512x319.jpg
1672394208949.jpg
1672394606625.jpg
 
Back
Top Bottom