Ni vizuri umejua dar is a slum ni kijiji.Sasa nakuonesha hivyo vitu vinafanywa mpaka kijijini.
Hizo fataki zimepigwa mbali kidogo na hapo walipochukua video, tena hazijapigwa katikati ya mji ambapo sauti haina mwangwi mkubwa kama hizo za Nairobi.Hii ni baruti bana 🤣 🤣 🤣 🤣 What is this? This is the best of Dar is a slum.


Naona unaanza kuleta issue za kitoto sasa.Ni vizuri umejua dar is a slum ni kijiji.
Thank you very much bro.A very happy new year to you, dear brother.
Si mchezo mwanangu, kwanza tumeshika namba moja kabisaTumefunika, sio poa.
Nimecheka sana, maana dah!![]()








Prado za mawaziri wao saivi zinaenda kuziondoa harrier kwenye trendy, wao bado wapo probox 😅😅😅Yani ukiwaambia hzo prado wanazotumia mawaziri wao huku wanatumia middle class tena vijana wadogo tu wanaanza kukasirika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nairobae fire works za kiAfrica sio innovative kabisa.. tupo nyuma sana.. me kuanzia nimekuwa nikifuatilia uandaaji wa sherehe huko duniani na kuona vile wanafanya hasa kwenye mambo za fire works 🤣🤣 Africa hakuna lolote.. have a look vile China wanafanya.. 👇. Alafu uache kupost hizo takataka .. unatukera
Kundustan subiri picha zipo nyingi tu. Safisha macho kwanzaUngeanza na kutuonyesha za hapo kwenu Dar is a slum ndio tujue how far behind we are as a continent.
Prado is the most popular SUV in Kenya. Kama vile IST ni popular huko dar is a slum hivyo ndio Prado iko popular in Nairobi.Prado za mawaziri wao saivi zinaenda kuziondoa harrier kwenye trendy, wao bado wapo probox 😅😅😅