Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Volkswagen Tcross a new model into the Kenyan Market. Now assembled in Kenya.

Image
Ww hujui hata kazi ya DT dobie alaf unapost tu hata tanzania wapo DT dobie😆😆😆
Screenshots_2022-12-31-11-16-09.png
 
Ww hujui hata kazi ya DT dobie alaf unapost tu hata tanzania wapo DT dobie😆😆😆View attachment 2464205
Sijui nikucheke, we huwezi nifunza kitu na hakuna hata gari moja inauzwa DT Dobie iko assembled in Tanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣 DT Dobie is an authorized distributor, na magari zao brandnew locally assembled wanatoa KVM in Thika.
 
Angalia picha yako uliopost ww ya VW alaf soma hapo chini 🤣🤣🤣🤣
Dt Dobie ndio Authorized distributor wa VW in Kenya. Wabongo hata kama hamna viwanda vya kuassemble magari mupunguze ushamba bana.🤣🤣🤣🤣

 
Dt Dobie ndio Authorized distributor wa VW in Kenya. Wabongo hata kama hamna viwanda vya kuassemble magari mupunguze ushamba bana.🤣🤣🤣🤣


Kwani nani kasema DT dobie wana aseemble 🤣🤣🤣 ww kweli kichaa aisee
 
Hawa hata hawalingi 👇


Wacha sideshows na upost picha zenu. Hizo miji tunazijua zote Ila hatupo ligi nao Ila hao wawili wanataniana sana maanake wote wanongea Portuguese. Same way hatuskii wakiringa kama nyinyi pia nyinyi hamsikii wakiringa ila Wana wenzao wanaotaniana nao. Post Dar is slum.
 
Back
Top Bottom