Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,716
- 107,163
You are one who is more than stupid because military budgets are public information, whether they are inflated or not that's none of my business.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]Exactly si watu wengi wanajua ukubwa wa VW! Hii ni kampuni EU Parliament wali-veto isinunue Volvo maana ingekuwa kubwa sana na kuondoa ushindani fair kwa other auto manufacturers and hence missing the chance for VW to be the largest auto manufacturer in the World!
Kundustan hudai wana-assemble VW cars! Ila VW Group wenyewe hawatambui kuwepo plant yao hapo Ukunyani!
View attachment 2464070
Huyu akiskia Al Shabaab wanakuja lazma ajinyee kama defensive mechanism!
Punguza hasira, huyo unamuona hapo na President Uhuru ndio alikua CEO wa Volkswagen Group (Herbert Diess) during the launch in Kenya. I am very sure hajui hata Tanzania ni nini wala iko wapi. 🤣 🤣 🤣Exactly si watu wengi wanajua ukubwa wa VW! Hii ni kampuni EU Parliament wali-veto isinunue Volvo maana ingekuwa kubwa sana na kuondoa ushindani fair kwa other auto manufacturers and hence missing the chance for VW to be the largest auto manufacturer in the World!
Kundustan hudai wana-assemble VW cars! Ila VW Group wenyewe hawatambui kuwepo plant yao hapo Ukunyani!
View attachment 2464070
The issue ni kwamba hamna kiwanda kuna ka-showroom/dealership!Punguza hasira, huyo unamuona hapo na President Uhuru ndio alikua CEO wa Volkswagen Group (Herbert Diess) during the launch in Kenya. I am very sure hajui hata Tanzania ni nini wala iko wapi. 🤣 🤣 🤣
![]()
CEO wa conglomerate kubwa kama Volkswagen akatoka Ujerumani akaja kuzindua warehouse. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ona vile unaandika ujinga.The issue ni kwamba hamna kiwanda kuna ka-warehouse!
Yes why not coming? he came for a VW dealership! VW has 120 plants around the World and 0 plant in Kundustan! Kelele palekea Wakundustani wa Dandora na Kibera!CEO wa conglomerate kubwa kama Volkswagen akatoka Ujerumani akaja kuzindua warehouse. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ona vile unaandika ujinga.