Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mjini mipango mdogo wangu, NDINDA kaishalobby msamiati wake umeingia kwenye Kamusi😂😂

KUNDUSTAN….😂
 
Kundustanian au kwa kiswahili wanaitwa Wakundustan.

So, nairobae ni mkundustan
Teargass ni mkundustan
Mashashola ni mkundustan
Don YF pia ni mkundustan
 
I was thinking the same, lakini labda feasibility study ina suggested kusogea zaidi na kuboresha hiyo shore mpaka kule kuelekea The Kilimanjaro, sababu napo pako pako tu. Anyways, let’s wait and see.
 
I was thinking the same, lakini labda feasibility study ina suggested kusogea zaidi na kuboresha hiyo shore mpaka kule kuelekea The Kilimanjaro, sababu napo pako pako tu. Anyways, let’s wait and see.
wakumbuke tu hiyo channel itakuja kuhitaji tunnel kuunganisha Magogoni na Kigamboni miaka 20 ijayo!
 
Hawa wakundustan ni wachafu huwa wanapiga picha za uzinduzi mapemaa cz wanajua jinsi walivyo sio wastaarabu, kila siku humu utakuta wanapost picha za uzinduzi za hiyo park jua kali iliyoboreshwa juzi lkn leo tayari hali iko hivi [emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…