ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nimesoma mm bearth 1 ni container na 5 pia sasa unataka kunidanganya mm 🤣🤣 alaf ukidanganya inakuaje au inabadilisha mombasa port kua na roro au??🤣🤣🤣Kimbia ulete ushahidi, maswali ya nini?? kawaida ya vilaza kama wewe ni kujitia hamnazo! berth 1 na 5 zinahandle conventional cargo, passengers na RORO. Nimekupa hadi link ya KPA. enda ubishane nao.
Nimeangalia mpaka google earth hakuna roro so ??? Acheni ujinga wa kujisifia vitu hamuna haisaidii kitu wala haibadilishi
