Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina hakika kama mombasa port ina ro ro manake naona dar na durban ndio zina ro ro za kisasa zaidi ila ya dar ndio kubwa kupokea magari kwa wakat mmoja mpaka magari 10000

Durban ro ro
View attachment 2460312

Dar port ro ro
View attachment 2460318

Sio habari nzuri sana kwao 😆😆

Dar port can not handle two RORO vessels at the same time, tafuta any port position ukipata nitag nikulipe. Only big ports like Mombasa and Durban can handle two RORO vessels at the same time.
 
Dar port can not handle two RORO vessels at the same time, tafuta any port position ukipata nitag nikulipe. Only big ports like Mombasa and Durban can handle two RORO vessels at the same time.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 swali ni je mombasa port ina ro ro ukiipata nioneshe hapa nasubiria

Najua hutaamini hutapenda najua utachukia lakini vumilia 🤣🤣🤣
images (49).jpeg

images (50).jpeg
 
Dar port can not handle two RORO vessels at the same time, tafuta any port position ukipata nitag nikulipe. Only big ports like Mombasa and Durban can handle two RORO vessels at the same time.
Nioneshe ro ro ya mombasa zaidi ya munatumia bearth za container kushusha magari na ntakuumbua nasubiria ujikanyage tu 🤣🤣🤣🤣
 
Hata sijui mbona unamjibu, kwani anadhani Kenya magari zote huletwa zikiwa ndani ya container.
Magari yanashushwa kwenye bearth za container ila ro ro bearth hamuna mpaka dunia itasmama na usitake nikuaibishe 😆😆
 
Back
Top Bottom