Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,144
Hiyo Safi sana. Kupata audience kwa Nchi yenye population kubwa kama China na vile ina uchumi mkubwa italeta impact kubwa sana kwetu.Siyo yeye tu, kuna account kibao za Wachina wa serikali wanatwet mpaka kiswahili daily kupromote Tanzania.
Nimeona mwaka huu pekee China imepata mabilionea wapya zaidi ya 100. Hivyo unaweza kuona Kuna fursa nyingi zinaweza kutokea katika biashara na uwekezaji.