Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wachana na huyo kilaza, sasa anatafuta pa kutorokea.
Hii ndio ro ro au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
images (53).jpeg
 
Eti wana ro ro mavi ya bata 🤣🤣🤣 sijui uongo hua unawasaidia nn kaah
Screenshots_2022-12-27-23-11-36.png
 
Kwala si wameshawekeza , kule ile ni dry port tu , lakini distance etc itaifanya isiwe favorable kama kuweka facilities hapo hapo Port.Kwa ninavyoona , Kwala move was good but imo not the best. Berth Nyingne kujengwa means more ships can be served ndani ya muda mfupi hence hata Kwala will get more Containers
Hiyo kwala ina underperform sababu ya rushwa tu, ingekuwa ni ya mtu binafsi ingefurika containers vibaya sana.

Na kwa style hii ya kiafrika sijui kama dry ports za Dom, mza, kgm, Mby nk zitapata mizigo, Binafsi nina wasiwasi kutokana na hulka ya rushwa tuliyonayo.
 
Julai - Nov 2022: TIC imesajili miradi 132 mikubwa ya uwekezaji tofauti na miradi 108 ya kipindi kama hicho 2021.

Thamani: Tsh Tril 7
Ajira: 21,297

Idadi ya miradi

Wiwanda: 67
Usafirishaji: 25
Kilimo: 9
Majengo & Biashara: 7
Rasilimali watu: 3
Fedha: 1
Mingineyo: 20
 
Kijana funga account wacha longolongo
View attachment 2460354
Mombasa port kuna RORO berths mbili berth 1 na 5.
usiogope kuingia kwenye link ya KPA.
Ukhekhekhekhekhekhekhekhekhe 🤣🤣🤣 aise mpaka raha nimekwambia ukipata roro mombasa port nitag nifunge acc

Kama hujui maana ya ro ro naeza kukusaidia tu usijal 😁😁😁
 
Ukhekhekhekhekhekhekhekhekhe 🤣🤣🤣 aise mpaka raha nimekwambia ukipata roro mombasa port nitag nifunge acc

Kama hujui maana ya ro ro naeza kukusaidia tu usijal 😁😁😁
wewe ni kelele tu kama kichaa. Haya Jolly inakuja kudock mkunduni mwako...
Screenshot_2022-12-27-23-35-08-880_com.android.chrome.jpg
 
Hata hio bearth 1 and 5 ni ya container au nikuletee ushahidi kenge wewe 🤣🤣🤣🤣 umetoka kwenye id ya nairobae umekuja na hii youngD
Kimbia ulete ushahidi, maswali ya nini?? kawaida ya vilaza kama wewe ni kujitia hamnazo! berth 1 na 5 zinahandle conventional cargo, passengers na RORO. Nimekupa hadi link ya KPA. enda ubishane nao.
 
Back
Top Bottom