Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20221228_074813.jpg
 
Mtu ajitokeze amuelekeze huyu mwehu anaejifanya anajua vitu 😀 jinsi ya kuattach tweet ya twitter, anatujazia tu mapicha wakat kuna option ya kuleta link ya tweet
Hater wa Samia una nongwa Sana baada kuona SSH ,ana Mu outshine yule mwenye bichwa kubwa ambae alikosa akili ambae wewe kima Ni mfuasi wake 😂😂😂😂.

Uko desperate kiasi kwamba umegeuka mchawi wa kutafuta shortcomings ndogo ndogo za Serikali ili ujifariji nazo 😁😁.

Hadi 2025 utakuwa umekonda kabisa.Heshima Kama hii Jiwe hakupata 👇
Screenshot_20221228-081634.png
 
For Cheap outdated 10yrs + cars.
Ndio zipigwe na jua sawa sawa kwa port!!!
Poor countries.
umeeangalia hiyo clip au "unaropokwa"? All over the world most cars brandnew or used r transported by Ro-Ro ship lines! Ni Ukunyani tu gari zinasafirishwa na containers!

 
Pole kwa maumivu.

TPA tower was designed by Kenyans
Rock city Mall Mwanza was designed by Kenyans
Tanzanian parliament in Dodoma was designed by Kenyans
East African Parliament in Arusha was designed by Kenyans.
Sasa mbona huko kunyaland mna design majengo yanayodondoka kila mwezi. Yani mshindwe kwenu muweze kwa jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona huko kunyaland mna design majengo yanayodondoka kila mwezi. Yani mshindwe kwenu muweze kwa jirani

Sent using Jamii Forums mobile app
si ndo maana nawaambia hamna kitu! eti wame-design? hio kampuni ya Kikunya ili-subcontract another overseas company! Kunyaland kama Kunyaland hamna kitu inajua!
 
Back
Top Bottom