Unataaluma gani?kila kitu hujui sasa unajua nn?ukiambiwa ufikiri kwa upana unasema unalazimishwa?Uwe na siku njemaUsinilazimishe kufikiria kama wewe. Kila mtu ananamna yake ya kuelewa mambo.
Ukienda machakos kuna majina ya ajabu, kuna sehemu inaitwa mbooni nk.Kuna majina ya maeneo yao yamekaa kaa kama hilo neno, mfano, KARIA DUDU sijui kalia dudu 🤣 , DONGO KUNDU etc 🤣
Kwa kusoma nimesomea mambo kadha wa kadha.Unataaluma gani?kila kitu hujui sasa unajua nn?ukiambiwa ufikiri kwa upana unasema unalazimishwa?Uwe na siku njema
Haingekuwa na uzuri wowote haingekusumbua akili hivyoKuna uzuri wowote kwenye hii picture?😅😅 View attachment 2458857
Sasa hapo kuna uzuri gani jamani?😂Eti wanauliza kuhusu uzuri wa Tanzania,
Hivi ndivyo Tanzania Ni tamu na hapa Ni Mbamba Bay Beach on Lake Nyasa 👇View attachment 2458882View attachment 2458883
Wivu utakuua mapema Sana wewe 😁😁.Sasa hapo kuna uzuri gani jamani?😂
5W's +H. Kwa hii kanuni lazima habari iwe imekamilika.Taarifa huwa haziwasilishwi hivyo kijana toka Kundustan Republic.
Kwenye news lazima uweke
What, Who, Where, When, Why and How.
You news is useless.





Sioni miti hapo kama hapa DarHaingekuwa na uzuri wowote haingekusumbua akili hivyo