President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Kenya wakifikia viwango hivi mniambie
Kwa resources hizi Basi ilitakiwa tuwe No1 kwa uchumi Africa nzima....lakini kwa bahati mbaya mambo yako tofauti kabisa
Sasa unakuwa namba moja kwa kuwa na resources au kwa kutumia resources. Ingekuwa hivyo basi Russia ingekuwa na uchumi mkubwa sana duniani. Nadhani kuna mahali haupo sawa.Kwa resources hizi Basi ilitakiwa tuwe No1 kwa uchumi Africa nzima....lakini kwa bahati mbaya mambo yako tofauti kabisa
Kama zipo na hazitumiki huoni ilo ni tatizo?Sasa unakuwa namba moja kwa kuwa na resources au kwa kutumia resources. Ingekuwa hivyo basi Russia ingekuwa na uchumi mkubwa sana duniani. Nadhani kuna mahali haupo sawa.
Wewe hapo umeanzisha migodi mingapi ya kuchimba madini?Kama zipo na hazitumiki huoni ilo ni tatizo?
Ulisoma wapi wewe?uko kichwani kuna kitu kwel?
Mimi ni Daktari wa binadamu wewe ni nani?Wewe hapo umeanzisha migodi mingapi ya kuchimba madini?
Daktari haruhusiwi kuwa na mgodi?Mimi ni Daktari wa binadamu wewe ni nani?
Gezaulole uyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi nani aliwabatiza hili jina? Wabongo creative sana….[emoji28][emoji28]
Ilo swali sitalijibuDaktari haruhusiwi kuwa na mgodi?
Kumbe ni wewe ndio uliwabatiza na jina limewakaa kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna majina ya maeneo yao yamekaa kaa kama hilo neno, mfano, KARIA DUDU sijui kalia dudu [emoji1787] , DONGO KUNDU etc [emoji1787]
Jamaa majina yao hovyo sn bora hata watumie majina ya kikoloni cjui Karen n.k ila wakiita majina yao ni hovyo sn.Hii mnaiachaje? [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2458688
Basi kama umeshindwa kujibwa swali hilo. Basi unatakiwa uelewe maendeleo hayashuki tu wala hayatokezi tu kama jua Maendeleo ni process.Ilo swali sitalijibu
Mnaumia sana mibongolala. Ulitarajia kuona dreamhouses kila mahali na mpangilio mbovu kwenye picha kama hiyo kama ilivyo Dar 😃
Machozi gani kwa kituko kama hicho?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment nimetumia telescope nimegundua imejaa machozi na jasho la nywele lita 30
Sasa niumwe na nini hapo bongolala? Are you losing your mind?Kapata ahueni [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuiga mnuka mavi, mwenzio akili hana, wewe utaishia kukimbia humu kwa maumivu lkn mwenzio akili hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyekuambia ni lazima uwasikilize ni nani?wakenya wanaongea kichafu.sipendi kuwasikiliza.
Sote tunajua wewe ni mgonjwa.Sasa niumwe na nini hapo bongolala? Are you losing your mind?
nimesema sipendi huelewi?Aliyekuambia ni lazima uwasikilize ni nani?