President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
Guys from Kundustan Republic. Hatutanii na wala hatuchekeshi
think a common Master Plan was used for 'The Galleria Mall' and this one..
Saahii ni EALA member!Halafu sasa, mcheki muongo mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2459017
karibu sana Masera, tayari yaonekana wewe ni moto ya kuotea mbali.🔥🔥 karibu sana ili tuwanyoroshe hawa wabongolala proper!Kwa uhakika wewe ni Teargass Baada ya Jumamosi kuweka tarifa zako humu unaona uikimbie account yako. Lakini sisi wajanja tumejua
View attachment 2458991
Tuma sasa ile barabara yenu pendwa tucheke kidogo.karibu sana Masera, tayari yaonekana wewe utakua moto ya kuotea mbali.🔥🔥 karibu sana ili tuwanyoroshe hawa wabongolala ile proper!
welkom bro 🤜🏾🤛🏼
View attachment 2459055View attachment 2459056
[emoji16]wanatia hurumaHuu moto Kundustan Republic hawataki kabisa kuuona
![]()
A world class infrastructure, no vumbi at all. [emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90]Wakiiona hii kitu wanawewezeka kabisa. Hakika Tanzania inapendeza
![]()
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nataman kuona current photos za hili eneo hususan ile stesheni ya BRTHizi stations kama render mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90]View attachment 2459100View attachment 2459101
Tanzania imeingiza arusha na znz kwenye top 22 kenya wameingiza nn? labda uongo na umaskini 🤣🤣🤣🤣Nimefuatilia kuthibitisha hili
![]()
Best Places to Travel in the World - Travelers' Choice Awards - Tripadvisor
Explore the most popular and trending places to travel around the world, based on reviews by millions of real travelers.www.tripadvisor.com
Sasa hivi Tanzania ni ya moto sana. Haishikiki. Dunia imeshajua uongo wa wakenya. Ilikuwa ni issue ya muda tu.Tanzania imeingiza arusha na znz kwenye top 22 kenya wameingiza nn? labda uongo na umaskini 🤣🤣🤣🤣
Nimeona na kwenye beaches Nungwi imeingia.Tanzania imeingiza arusha na znz kwenye top 22 kenya wameingiza nn? labda uongo na umaskini 🤣🤣🤣🤣
Wewe Venus… were you never hugged as a baby?… your blind Patriotism has reached level ya Best/worst 007….. TZ is unique in its way lakini mambo ya maendeleo , Wakenya we are the kings in this realm … dunia mzima yanjua…Sasa hivi Tanzania ni ya moto sana. Haishikiki. Dunia imeshajua uongo wa wakenya. Ilikuwa ni issue ya muda tu.