Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani kifupi ni hesabu za kawaida sana.
Kama ongezeko ni 14.9% ambayo ni sawa na 2.8M so
19.8+2.8 = 22.6 au hataki?
Na ndio huu mwaka TPA iliweka rekodi ya mapato 👇
Screenshot_20221018-111551.png
 
Basi kama umeshindwa kujibwa swali hilo. Basi unatakiwa uelewe maendeleo hayashuki tu wala hayatokezi tu kama jua Maendeleo ni process.
1. Kutambua ulichonacho
2. Kujua jinsi ya kukitumia ulichonacho
3. Kutafuta uwezo wa kukitumia ulicho nacho
4. Kutumia ulichonacho kwa faidia
5. Kuanza kupata maendeleo.
Okey,hakuna neno tuendelee kujivuta tutafika tu
 
Back
Top Bottom