Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna majina ya maeneo yao yamekaa kaa kama hilo neno, mfano, KARIA DUDU sijui kalia dudu 🤣 , DONGO KUNDU etc 🤣
Hii mnaiachaje? 😅😅😅
Screenshot_20221226-141623.png
 
We jamaa itakuwa uko kwenye sekta ya utalii, sio kwa madini haya, asante kwa kutuheshimisha, tunasuburi watuletee vivutio vyao vya wizi na zile mbuga zao zao za mipakani ambazo zinategemea uhai wetu😅
Mbona mnakuanga wajinga hivi? You think Tanzania is the only country with natural attractive places?
 
Back
Top Bottom