Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No road like that in TZ outside Dar(ata hiyo Dar sio vile), with many interchanges, a tunnel and flyovers, wacha kujidanganya.., mko down usijitekenye pole bro, mtafika.,
Kenyan towns has, from Eldoret, Kericho, Thika, Nakuru, kisumu, Machakos, Kitale, etc.., roads with flyovers and interchanges.., hatufanani dogo.
Tofauti na kukaa kibera umewahi kuishi wapi tena!?

1671774886584.png
 
No road like that in TZ outside Dar(ata hiyo Dar sio vile), with many interchanges, a tunnel and flyovers, wacha kujidanganya.., mko down usijitekenye pole bro, mtafika.,
Kenyan towns has, from Eldoret, Kericho, Thika, Nakuru, kisumu, Machakos, Kitale, etc.., roads with flyovers and interchanges.., hatufanani dogo.
Hiv ni infrastructure Gani ni complex kujenga and more expensive? Hizo Calvert zenye munajenga by the name of flyovers or 3.2 km over water bridge...? Kama tunapima maendeleo kwa kuwa na Complex structures on ours roads then which city should be considered developed.? .. wewe ni mtu mzima lakini hauna akili kunifikia
 
Usijitetee walai, hamna such in Tz, period, stop sweating man, fyata and move on. Ni Dar tu in Tanzania.., 😂 😂 😂 😂
 
Good Morning Nicxie naona umepanick, umekunywa chai Budda? Ni bobu ngapi zinatosha chai na mandazi hapo nikurushie kwa Mpesa?😅😅

Well, angalia recent statistics za Karume compared na JNIA…..don’t believe me just check.

Underline the word "for the first time"... hapo ndio utaelewa kinachozungumziwa
 
Underline the word "for the first time"... hapo ndio utaelewa kinachozungumziwa
Hawa watu wako na low IQ, and it is a one time kinda thing due to a season, sio eti now it has arrived, 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tulia pale pale.., Tunis haina BRT, wala Addid Ababa, but wako juu yenu.., Nairobi ndio usiseme without BRT but above you.., we do commuter.., vumilia, your BRT ata haija cover 20% of the sq km ya Dar.., below average still.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2455301
Nyie sio tu hamna BRT bali hamna chochote kati ya hizi infrastructure zinazopatikana in any developed City.

BRT
Electrified railway (be it SGR or whatever)
Cable stayed bridges
Modern airport
 
Hiyo barabara Ina maajabu gani.? Two lanes road zipo karibu kila city or towns in Tanzania..
Wapi!?😂😂😂
Does Mwanza or Arusha know what an elavated road is. Mtu amezaliwa na kuishi Mwanza mausha yake yote hajui flyover ibafananaje yet that's your second city!
 
Wendawazimu wanaendelea kuongezeka jf, bangi sio mboga kilaza, zero reasoning, out of context😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1671774799255-png.2455297
Kisu kimegonga kwenye mfupa. Sasa hivi unaropoka tu. Huna sera tena
Unaona mambo ya TZ!?
Tuoneshe mambo yenu

1671775577291.png
 
Unapima maendeleo kwa Calverts 🤣🤣🤣 wewe kweli ni maandazi..
Dar ndio pekee Tanzania, na sio vilee., zoea ukweli, maneno maneno ya nini?., relax u can't change anything with your skewed reasoning kujitetea tu, ukweli inabakia pale pale, hamna!😝😝😂😂😂😂
 
Underline the word "for the first time"... hapo ndio utaelewa kinachozungumziwa
Nimesema Karume imekuwa busy mpaka imeipita JNIA, kumbe nilitakiwa kuongeza ‘for the first time’ ndio ufurahi Budda? Kusikia tuna Airport busy zaidi ya JNIA imeuma ehee? Ndio maana nashauri ukanywe chai budda, njaa sio nzuri, plus wivu utapata uclers bure😅😅
 
Wapi!?😂😂😂
Does Mwanza or Arusha know what an elavated road is. Mtu amezaliwa na kuishi Mwanza mausha yake yote hajui flyover ibafananaje yet that's your second city!
Vipi hujajibu swali langu. Umedai dada yangu unamjua.
Je umeacha kutembea na kimba kwenye chupi!?
 
Wapi!?😂😂😂
Does Mwanza or Arusha know what an elavated road is. Mtu amezaliwa na kuishi Mwanza mausha yake yote hajui flyover ibafananaje yet that's your second city!
Hawa ni zwazwa.. miboya tupu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom