Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kitu inaitwa e-citizen we primary school dropout. Wachana na government bills lipa na mpesa iko hadi kwa vibanda kama zote. Endeni msikie vibaya kwa choo ju nobody uses bongolala as an example for a cashless economy.
Kibanda — DERRICK MILIMO

Itoshe kusema wewe ni matrakoo.
IMG_5625.jpg
 
Sell airtime and earn commissions ndio imeingia kundustan saivi?
Jamaa ni washamba kiboko, unajua hii Tz yetu iko mbali mno kwenye teknolojia, nchi nyingi za kiafrika zipo nyuma mno sema tunajifanyaga tunaichukulia poa nchi hii. Sasa angalia huyo mshambaa anashangaa something like tigo rusha yn kwao ndio inaingia, ndiyo maana kuna waafrika wakiwemo Wakenya huwa wananishangaa nikiongelea tigo rusha kumbe kwao hamna, wallahi leo nimeshangaa sana
 
😂😂😂😂😂 Nimeshangaa kweli, hiyo biashara saivi haina vibe sababu kila mtu anajinunulia bundles from personal account hata vouchers za kuscratch zimepotea madukani!
 
Hii kweli kuna siku niliangaika kutafuta vocha daaa , niliangaika kinoma.
Simu ya pesa niliiacha home , daa niliangaika daa
 
Back
Top Bottom