Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Hiyo yako ina fungu asilimia ngapi ya pesa za maendeleo? Kati ya hizo kiasi gani inatokana na mikopo na misaada na kiasi gani ni mapato ya kodi? Kwahiyo tujenge reli tu tuache kila kitu? Ndio shuleni kwako mlifundishwa uchumi wa namna hiyo?Bajeti ya trillion 35 ni bajeti ya mwaka mmoja, SGR itamalizika 2026 kuanzia 2017, hiyo ni miaka 9, Kama ukifanya hesabu ni 35trl x 9 = 315trl. Kwa kutumia akili yako vipi inawezekana au haiwezikani kujenga SGR ya 23trl kutoka kwenye bajeti ya 315trl?.
Halafu hiyo miradi mingine uliyotaja BRT, Dar na Msalato Airports sio pesa za ndani, ila Bwawa la Nyerere ni pesa za ndani. Jaribu kufikiria kabla ya kuandika kitu, sio wote hapa ni mbumbumbu Kama wakenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna Toyota inakua assembled bongo. Endelea kuota. Fabrication sio assembling.
Mko na flyover mbili pekee Tanzania nzima.Flyover zimejaa kibao Tz kwa ss, hakuna infrastructure ipo Kenya isiwepo Tz ila kuna infrastructures kibao zipo Tz huwezi pata East and Central Africa hata ulie huwezi badili huo ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wewe umeamua kumuamini Samia badala ya Magufuli ambaye yeye ndiye aliyeanzisha hii miradi?Sasa unapingana na raise wenu. Samia mwenyewe ndio amesema Tanzania imekopa $10B for SGR, who are you to dispute her?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
View attachment 2452955
Hakuna Toyota inakuwa assembled kenya. Endelea kula Githeri hapo kibera.Hakuna Toyota inakua assembled bongo. Endelea kuota. Fabrication sio assembling.
Itabidii uzoee. hohohoHakuna Toyota inakuwa assembled kenya. Endelea kula Githeri hapo kibera.
Unadhani Assembly ni kama kurusha flying toilets.Itabidii uzoee. hohoho
Enda uskie vibaya na huko.Unadhani Assembly ni kama kurusha flying toilets.
Tulia mkuu, wacha kufedheheka na kupaparika. Mimi nilijibu hoja ya kwamba hatuwezi kujenga mradi wenye thamani ya 23trl, Kutokana na bajeti yetu ya 35trl.Hiyo yako ina fungu asilimia ngapi ya pesa za maendeleo? Kati ya hizo kiasi gani inatokana na mikopo na misaada na kiasi gani ni mapato ya kodi? Kwahiyo tujenge reli tu tuache kila kitu? Ndio shuleni kwako mlifundishwa uchumi wa namna hiyo?
Yes hiyo miradi ni mikopo, kwani hapa tunazungumzia kitu gani? Samia kakopa ajenge ndio unaona hilo deni limekua. So wewe ndio mwanafunzi kipanga wa REAL Comrade Kipepe umekuja kumtetea mwalimu wako? Kumbe baba zenu waliuza ng’ombe wapeleke ng’ombe zingine shule…….bure kabisa!!!
Hizo nyimbo zenu mnaaimba kila siku. Upo na Tanzanophobia.Enda uskie vibaya na huko.
Hamuwezi shikanisha hata baiskeli.
😂 😂 😂 Nimecheka sana huo mstari! Mimi nimezaliwa Muhimbili na kukulia Ubungo NHC, Nyuma ya Ubungo Plaza kuna Rubada na nyuma kuna kota huko. Hakukua na mtu aliyekuwa na Ng'ombe hizo pande ndugu.Kumbe baba zenu waliuza ng’ombe wapeleke ng’ombe zingine shule…….bure kabisa!!!
Li Rais lao limeenda kuangalia mpira Qatar!Imagine angekuwa kenyan businessman na Tanzanian pres. Hayo maneno ya wakenya sasa humu
Nimekwambia ukipata ushahidi tu mm nafunga acc jamii forum mamaee🤣🤣🤣🤣 hvi ww unaeza nifundisha mm chochote kuhusu magari wwToyota Land cruiser 76 zote za East and Central Africa zinakua assembled Mombasa, ukipata Assembler mwingine within East Africa nitag nifunge account.
Akileta tu ushahidi nitag plz 🤣🤣🤣Hakuna Toyota inakuwa assembled kenya. Endelea kula Githeri hapo kibera.
Hii ndio landcruiser 🤣🤣🤣 kwanza ni magari mangapi ya mobius yameuzwa kenya yani munachekesha sanaEnda uskie vibaya na huko.
Hamuwezi shikanisha hata baiskeli.
Walidhani tunatania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2102 km of SGR (ya umeme, sio diesel)
Umenifanya mpaka na mimi nianze kucheka kama chizi………..😅😅😅 acha nongwa we Mzee, Samia anajenga nchi haijapata tokea……..😂😂😂 😂 😂 Nimecheka sana huo mstari! Mimi nimezaliwa Muhimbili na kukulia Ubungo NHC, Nyuma ya Ubungo Plaza kuna Rubada na nyuma kuna kota huko. Hakukua na mtu aliyekuwa na Ng'ombe hizo pande ndugu.
Shukran kwa kunichekesha na mstari wako wa Ng'ombe.😂😂
Kenyan Car AssemblyEnda uskie vibaya na huko.
Hamuwezi shikanisha hata baiskeli.