eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Acha ujinga wewe embu jishughulishe kidogo kwa ku google Mzinga corporation utaona ni vifaa gani vinatengenezwa kule. Mpaka missiles zinatengenezwa huko.60% local. Nyinyi mnaimport complete rifle.
Alafu the good thing is that our soldiers trust those weapons to an extent wanaenda nazo missions.
View attachment 2449393
Haujanijibu swali kijana, nataka kujua kazi ya jeshi lenu ni nini.?Kila nchi iko na taratibu zake. Si lazima yetu ifanane na yenu. The mandate of the KDF is to protect Kenyan borders against external attacks. Ulinzi wa ndani ni kazi ya polisi, si wanajeshi
Wakenya sio maboya ama zezeta wakudanganywa kirahisi.., Kenya's govt is not propagandist bana., viongozi wetu wenyewe wataumbua serikali if they try any hogwash like u have in TZ.., usitaje Kenya sentensi moja na Tanzania when speaking about propaganda..., maybe corruption(ufisadi) ndio kero kidogo lakini sio propaganda..,Kwani nyinyi hamujui kama serekali yenu inapika data ili iwatulize mioyo yenu au leo unakataaπ€£π€£π€£π€£π€£
Huyo mwanaume lazima alikua fala sana.., yaani ang'olewe makende na mwanamke...,Caption Mtaweka Wenyeweβ¦..π π
View attachment 2449593
Watu wakujipiga kifua wamefyata π π π π π π πHamjambo mibongolalaπ
Naamini kila kitu kishwari hapo Tanganyika πππ
View attachment 2449635
Ni kizungu huelewi ama ni nini? Didn't you see the part I said that the mandate of the KDF is to protect the boundary of Kenya againt external attacks?Haujanijibu swali kijana, nataka kujua kazi ya jeshi lenu ni nini.?
Yani domodomo bila vitendo. Watu wanaleta watoto wao Kenya wasomee urubani lakini utasikia wakisema vile elimu yao bi bora kuliko yetuWatu wakujipiga kifua wamefyata π π π π π π π
![]()
Kijana tulia upakatwe burretti zitakuja tuu usiwe na shaka.Kubali kwamba you got dissapointed bongolala. Stop looking for flimsy excuses baada ya buret train kugeuka na kuwa vitu vingine. I can feel your pain and dissapointment![]()
Dar hakuna airport ya kutrain pilots. π€£ π€£ π€£Watu wakujipiga kifua wamefyata π π π π π π π
![]()
Sasa wewe unajua zaidi ya waziri wenu aliyewatoa uzuzu na kuwaambia msitarajie kitu kama hicho?Kijana tulia upakatwe burretti zitakuja tuu usiwe na shaka.
Usisahau kwamba Dom ni mji ulioanza kujengwa upya juzi tu hapa na ndiyo utakuwa most modern and organized in the region utake usitake.Unashangaa kuona elevated road in your capital city!! Bongolala, elevated roads zinapatikana deep in Kenyan villages! Enyeww mko nyuma as a country!!
Tunajua hamjazoea kuona vitu kama hizo. Ni mambo ya kawaida huku kwetu sababu zipo hadi vijijiniUsisahau kwamba Dom ni mji ulioanza kujengwa upya juzi tu hapa na ndiyo utakuwa most modern and organized in the region utake usitake.
Huyo hana kazi mda wote yupo JFKwa elimu gani uliyonayo haunaga hata aibu mzee wa kudownload hela na kujimwambafy.
Ungekua smart usingekua unaandika broken humu watu wanakusahihisha mara kadhaa. Jifunze kuishi low profile sio unaleta arrogance ya kizembe.
Ungekua busy usingekua daily unaandika humu. Maana yake unamuda mwingi wakuchezea
Sent using Jamii Forums mobile app











Matatu za Mwanza jo!.., old school, Tz bana π π π π π π
Za Mwanza ni very old model.., kwani hawanunui model mpya?.., yaani Tz na Uganda ni ndugu wa toka ni tokeHizo matatu za Mwanza na matatu za NAIROBI, tofauti yake ni nini.? ππ