Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Kati ya nchi zote mbona watanzania ndio wamekubali kusanywa? Mbona wasikatae? That just shows you how life is hard in Tanzania hadi mtu anakubali kutolewa kwa nyumba yao just to come sit next to busy streets with dirty clothes wakiomba pesa.Ombaomba ni kama scam, kuna watu uwakusanya walemavu na kuwafanya kua ombaomba kwa faida yao. Hata hao unawaona kuna godfather behind tena inawezekana akawa mkunya kama wewe. Pia ndani yake humo wakunya hawakosi. Sio ombaomba wote ni watanzania tena wakunya ndio haya aibu hamuoni kuna video iliwekwa watu wazima wanamuomba hela mzungu bila aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
tulikia naye last week bado tuko strong ile kinoma