Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chang’ombe Kazi bado inaendelea.

IMG_3800.jpg

IMG_3801.jpg

IMG_3802.jpg

IMG_3803.jpg
 
Nasubiri atuambie ni wapi wanafanya malipo kwa cashless ambayo huku Tanzania haifanyiki.
Maana huku Tanzania kila duka kuna “Lipa kwa simu”
Wacha porojo, huyu hapa ni mtanzania mwenzako na ameshangaa na cashless economy ya Nairobi.

Wacha porojo, huyu hapa ni mtanzania mwenzako na ameshangaa na cashless economy ya Nairobi.

Huyu aloe comment hapa inategemea anaishi wapi ndani ya hii Tz .. yapo maeneo kibao yenye ni cashless .. naeza hata kwenda kula na nikalipa kwa card tu au hizo m-pesa, tigo pesa, Airtel money, Hallopesa, Ezy pesa au T pesa n.k
 
😂😂 Unaongea kama unakunya.. Matatus in Nairobi so far 👇View attachment 2449695View attachment 2449696View attachment 2449697haya tofauti ya hiz takataka na Mwanza ni nini.? 😂😂..

Kuhusu public buses mtuache tu sisi sio league yenu kabisaaa
Wewe na ukichaa unasumbua..., get a pic or clip ya 2022 kama hiyo youtube video ya Mwanza.., infact hizi models umepost are way ahead of those in Mwanza.., mko down bana, hauna jibu kwa vile pingamizi zako hazibadilishi ukweli., mko hovyo sana.. yaani Uganda B.,
 
Huyu aloe comment hapa inategemea anaishi wapi ndani ya hii Tz .. yapo maeneo kibao yenye ni cashless .. naeza hata kwenda kula na nikalipa kwa card tu au hizo m-pesa, tigo pesa, Airtel money, Hallopesa, Ezy pesa au T pesa n.k

Hizo lipa kwa simu zimetapakaa Tanzania nzima.
Hadi kwa mama ntilie, machinga wanazo.
Naweza tembea Tanzania nzima bila cash na nisipate usumbufu aina yoyote.

Kuna mtu alishawahi kushare tweet humu ya mkenya akishangaa namna huduma ya lipa kwa simu ilivyo sambaa Tanzania.
 
Wewe na ukichaa unasumbua..., get a pic or clip ya 2022 kama hiyo youtube video ya Mwanza.., infact hizi models umepost are way ahead of those in Mwanza.., mko down bana, hauna jibu kwa vile pingamizi zako hazibadilishi ukweli., mko hovyo sana.. yaani Uganda B.,
Kwa public buses hiyo battle inafaa ni kati ya Mwanza vs NAIROBI .. DAR ni habari nyingine
 
Kwa public buses hiyo battle inafaa ni kati ya Mwanza vs NAIROBI .. DAR ni habari nyingine
Mko hovyo.., Kenya town mzima haiwezi kukua na matatu hovyo kama za Mwanza, kila kona!..., ringa na BRT niondolee upuzi yako..., mko hovyo ukilinganisha...,
 
Mko hovyo.., Kenya town mzima haiwezi kukua na matatu hovyo kama za Mwanza, kila kona!..., ringa na BRT niondolee upuzi yako..., mko hovyo ukilinganisha...,
Usiumie kwa public buses mtulie mko nyuma yetu.. kaa kimya likija suala hilo
 
Hapa Kundustan kutakuwa na mafala wengi sana. Kwasababu wanaume wa huko wanaongoza kufanyiwa ukatitili na midemu yenu yenye sura mbaya
Nyie ni maiti., mnadharauliwa na kila kiumbe.., wanawake wenu wanawaona watu hovyo sana..,
 
Back
Top Bottom