Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui confidence ya kumuomba mtu hela...na una akili timamu na nguvu zote inatoka wap?

Hii video ukiangalia kwa umakini utaona kuna tatizo kubwa sana Nairobi na kenya kwa ujumla....lavel ya umaskini haizungumziki...


Mji wao ni mchafu sana, public transport ni ya ovyo, barabara zina matope tena yale meusi

CBD ya Nairobi hiyo..View attachment 2443690View attachment 2443691View attachment 2443692View attachment 2443693
Ila hawa jamaa kwa disorganisation hawajambo utafikiri hakuna mamlaka za mji dah hatari.
 
Aisee nipo kwenye puzzle inakuaje group lote lile linamfata Mzungu mwendo mrefu kiasi hicho na alishawaambia hataki wamfate ataenda na mmoja tu hotelini

Lengo lilikua kumuibia au bado wana imani watapewa msaada walionyimwa tayari!

Wakenya mnadhalilisha Africa, kwa tabia hizi waafrika tunaonekana vituko, ni 21st century lakini people in CBD behave like stone age primitives, yapo kama mazombi
Kika siku mimi nasema humu Kenyans ni washamba sana.
 
Kenya has a higher poverty rate than Tanzania
You reason like a Warthog 😂😂

2773522_PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
JKIA is full to the brim. Airports zetu zinajazwa na wakenya and that's why they are always full. Sio kama Tanzania where the citizens are poor to an extent that can't even travel using cheap aircraft. Hao wanangoja wazungu waje wawajazie airports

JKIA yesterday evening.


View attachment 2443772
We have better roads and the whole country is accessible even with a saloon car hence travelling convenience.
 
Back
Top Bottom