Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,721
KISUMU MASSACRED
Sasa umeandika nini hapa?YES KUNA VITU VINGI TUU WAKENYA WAMETUPITA HASA KWENYE VIWANDA KENYA WANAVIWANDA VINGI KULIKO SISI TANZANIA HIO HAKUNA ANAYEPINGA.
HATA EAST AFRICA WAO NDO WANAVIWANDA VINGI, HATA EXPORT YAO NI KUBWA KULIKO SISI, HUO NI UKWELI HAKUNA ANAYEPINGA. MIMI MWENYEWE NI MMOJA WAPO.
ILA NASHANGAA KUNA WANATUONYESHA MAGHOROFA YA KENYA , NI KWELI KENYA KUJA MAGHOROFA MENGI HASA APARTMENTS NDO NYINGI. KULIKO SISI
ILA WANASHIDWA KUJUA KINACHOSABABISHA NI SHERIA YAO YA ARDHI IPO KAMA YA UK MTU AKIWA NA ARDHI NI YA KWAKE NA VIZAZI VYAKE VYOTE, HATA SERIKALI IKIITAKA YEYE NDO ANAIUZIA SERIKALI KWA PESA ANAYOTAKA YEYE.
SHERIA KAMA HIO INASABABISHA WATU KUCHUKUA ARDHI KUBWA KUBWA HASA MATAJIRI NA KUJIMILIKISHA NA KUPELEKEA WATU WENGINE KUKOSA ARDHI. MFANO MWINGINE NI INDIA IPO SHERIA KAMA HIO HIO ILA WATU WENGI INDIA HAWANA ARDHI ILA ARDHI YA INDIA NI KUBWA SANA WEWE ANGALIA RAMANI YA INDIA NI KUBWA SANA. KI UKWELI ARDHI KENYA NI SHIDA SANA , KITU HIKO KINAPELEKEA KUJENGA APARTMENTS NA KUUZA ARDHI KENYA NI SHIDA KULIKO HUKU, TANZANIA.
TANZANIA JENGA APARTMENTS ZA GHOROFA HAFU HANZA KUUZA UONE KAMA KUNA MBONGO ATANUNUA LABDA IWE SEHEMU MZURI KAMA KULE POSTA DAR, ILA MIKOANI HUKU NANI ATAKAYE NUNUA HAKUNA HATA MMOJA.
KWA SABABU ARDHI TZ IPO . TANZANIA ARDHI NI YA UMMA SERIKALI IKIITAKA INAICHUKUA SHERIA KAMA HII HATA MTU AKINUNUA ARDHI KUBWA SERIKALI ANY TIME INAWEZA IKACHUKUA KWA GHARAMA WATAKAYOITHAMINISHA NA SERIKALI.
Wewe unavyoona kimeendika nini, huo ndo UKWELI hasa, sheria ya ARDHI ya kenya ni sawa na ya UK, INDIA na no TOFAUTI na ya Tanzania.Sasa umeandika nini hapa?
Kama ni tofauti unataka tufanyaje sasa?Wewe unavyoona kimeendika nini, huo ndo UKWELI hasa, sheria ya ARDHI ya kenya ni sawa na ya UK, INDIA na no TOFAUTI na ya Tanzania.
Nimeeonyesha kuhusu SHERIA jinsi inavyo hakuna huko.Kama ni tofauti unataka tufanyaje sasa?
Hivi vile vichwa vipya kutoka Malyasia viko vingapi in total
Kwani lazima tuwe na sheria kama ya Tanzania? We can't follow that primitive law and that's why country has remained poor.Nimeeonyesha kuhusu SHERIA jinsi inavyo hakuna huko.
Hizi ni kali? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Buy Kenya build Kenya slogan is working. Thank you Mombasa Raha for trusting in local manufacturing.
LSHS inatoa vitu Kali Kali.
View attachment 2448751View attachment 2448759View attachment 2448760View attachment 2448761
Kama ulaya mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91]
Ask your countrymen 😂😂😂😂Hizi ni kali? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Home sweet home 👇Upanuzi wa bandari ya Tanga progressView attachment 2449144View attachment 2449145