Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
π π π π π π π π π
Haikomboi Dar bana.., CBD inabakia tu hiyo moja.. hiyo picha ulio post covers most of it, ambayo unajaribu kutumia kuikomboa Dar.., the main buildings zote ndani.., chezeni na Mombasa bana., ukubwa wa Dar ni makazi uchwara, population na udongo, development NO!!ππππππππHii picha ya DAR inayokufurahisha ni upande mmoja tu wa Posta CBD.. hakuna East side ya Posta, KK, wala Upanga .. so ni comparison ya kitoto .. usiwe muoga picha zinaonyesha hilo eneo kwa ukubwa wake zipo kibao .. πView attachment 2448747still huu ni upande tu wa Posta CBD.. East side hii hapa πView attachment 2448749posta itself ni larger 2Γ to your CBD.. wachana na Kk, Upanga wala Ilala..
