Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli we ni fala utaacha lini kulazimisha mambo .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Picha yako inaonyesha upande wa nyuma wa rita tower na golden tulip hotel., hilo jengo ulilozungushia duara hapo .. can't you see.? Hizo gorofa umezungushia duara kwenye picha niliyopost mimi ni hizi tatu za blue zilizofutana kwa ukaribuπŸ‘‡View attachment 2448814unaweza nionysha hizo kwenye picha yako pendwa.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
What's missing from here?

1671189106516.png
 
Kweli we ni fala utaacha lini kulazimisha mambo .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Picha yako inaonyesha upande wa nyuma wa rita tower na golden tulip hotel., hilo jengo ulilozungushia duara hapo .. can't you see.? Hizo gorofa umezungushia duara kwenye picha niliyopost mimi ni hizi tatu za blue zilizofutana kwa ukaribuπŸ‘‡View attachment 2448814unaweza nionysha hizo kwenye picha yako pendwa.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Narudia kutoka kwa hii picha ya kwanza kama umeongeza lolote ukitazama picha ya pili ni kidogo sana, wacha kujikosesha ufahamu.., Dar tunaijua mwanzo mwisho..,, peleka huo uchokora wako vijiweni, kazi yake imeisha, ukubwa wa dar sio town, ni makazi, idadi ya watu na sq km ilio jaa shamba za mihogo na naziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1671189597809.jpeg

1671189610254.jpeg
 
Narudia kutoka kwa hii picha ya kwanza kama umeongeza lolte ukitazama picha ya pili ni kidogo sana, wacha kujikosesha ufahamu.., Dar tunaijua mwanzo mwisho..,, peleka huo uchokora wako vijiweni, kazi yake imeisha, ukubwa wa dar sio town, ni makazi, idadi ya watu na sq km ilio jaa shamba za mihogo na naziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2448823
View attachment 2448824
Najua ni maumivu kiasi gani unayapata baada ya kuumbuka, haya kila la heri
 
Najua ni maumivu kiasi gani unayapata baada ya kuumbuka, haya kila la heri
Potelea mbali na hekaya zako za abunuasi, ukweli mchungu ila inabakia pale pale., adios dogo, ni bora umesalimu amri kijanja janja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Umeumbuka mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umetii., haukimbii ukweli, nenda pole pole πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Umeumbuka mpaka unakosa cha kusema unabaki kujichekesha kama kocho 🀣🀣🀣🀣
 
Umeumbuka mpaka unakosa cha kusema unabaki kujichekesha kama kocho 🀣🀣🀣🀣
Hapa hautoki, ulijiingiza kwa mtego mwenyewe umebanwa hauna pakutokea, hadi raha, mchezo kwishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..,..,
1671189597809-jpeg.2448823

1671189610254-jpeg.2448824
 
Mtu mzima ukiumbuliwa kumbe inauma hivi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom