Hawa ni kelele tu na arguments za kijingaAlafu hiyo 29M includes hadi ports za lake Victoria and Tanganyika. Yani anything with a name port wameunganisha lakini bado hawafikii hata 2/3 of Mombasa port alone. Again those figures are for full year ending June.
Konza will be the only smart city in the region. It took years to complete it's horizontal infrastructure and just see how they are coming out.Konza city horizontal infrastructure progressing wellView attachment 2448104
Bandari za Tanzania zinategemea biashara ya Nje zaidi kuliko Kenya inahitegemea Uchumi wa ndani..Full year all your ports only handled 29M tonnes? Alafu kumbe what Kisumu port handles in a year is more than Mwanza and Kigoma combined?😂😂🤣
Labda alichanganya mafailiSasa nani msema kweli kati yako na yule mwenzako aliyesema Dar port pekee yake ilihandle 22m tonnes wakati ports zenu zote hazifiki hata hiyo 22m?
Ombaomba ni kama scam, kuna watu uwakusanya walemavu na kuwafanya kua ombaomba kwa faida yao. Hata hao unawaona kuna godfather behind tena inawezekana akawa mkunya kama wewe. Pia ndani yake humo wakunya hawakosi. Sio ombaomba wote ni watanzania tena wakunya ndio haya aibu hamuoni kuna video iliwekwa watu wazima wanamuomba hela mzungu bila aibu.Heri kuwa mpishi na mwalimu kuliko kuwa ombaomba .
Ombaomba ni kama scam, kuna watu uwakusanya walemavu na kuwafanya kua ombaomba kwa faida yao. Hata hao unawaona kuna godfather behind tena inawezekana akawa mkunya kama wewe. Pia ndani yake humo wakunya hawakosi. Sio ombaomba wote ni watanzania tena wakunya ndio haya aibu hamuoni kuna video iliwekwa watu wazima wanamuomba hela mzungu bila aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuambia mashamba yetu wazungu wamepanda maua. Waambie hiyo ni ngano.
Umeshindwa kutetea kelele na porojo za mwenzako ukaona ubadilishe gear hewaniLabda alichanganya mafaili
Meanwhile Kunyaland inazidi kukataliwa na lenders 👇View attachment 2448138View attachment 2448139
Sasa wewe unaongea ukiwa tandale na sisi tupo Kenya na tunakutana nao kila siku kwenye barabara zetu na wao wenyewe wanakiri ni watanzania ukiwauliza. It can't be by coincidence eti beggar wa Nairobi aseme the same thing na beggar wa Nakuru ama Kisumu when asked where they come from. I know it pains but hawa ombaomba ni watanzania.Uko sahihi, nanukuu Kwenye gazeti moja; “There must be someone organising the entry of these foreign beggars into the town centre and it appears that they are being dropped at specific positions very early in the morning and picked up late in the evening,” said the immigration officer.
Hiyo ni biashara ya wakenya, hiyo biashara ni maarufu sana kenya ila hizi kondoo za humu zenye akili ndogo haziwezi kubali maana ni aibu.
Wana maisha magumu kiasi kwamba inawalazimu kuwakusanya walemavu na kuwafanya omba omba mitaani ili wawakusanyie pesa.
Sasa wewe unaongea ukiwa tandale na sisi tupo Kenya na tunakutana nao kila siku kwenye barabara zetu na wao wenyewe wanakiri ni watanzania ukiwauliza. It can't be by coincidence eti beggar wa Nairobi aseme the same thing na beggar wa Nakuru ama Kisumu when asked where they come from. I know it pains but hawa ombaomba ni watanzania.
Mpumbavu namba moja anaita wengine wapumbavu😂😂😂Niliacha kubishana na wapumbavu.
Wanakana watanzania wenzao😂😂Sasa wewe unaongea ukiwa tandale na sisi tupo Kenya na tunakutana nao kila siku kwenye barabara zetu na wao wenyewe wanakiri ni watanzania ukiwauliza. It can't be by coincidence eti beggar wa Nairobi aseme the same thing na beggar wa Nakuru ama Kisumu when asked where they come from. I know it pains but hawa ombaomba ni watanzania.