Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians are primitive. So why hung breads there, hamkuwa na place ya kuzieka?😂😂😂

View attachment 2447951
MGR 🤣🤣
20221215_200921.jpg
 
Your port is very dirty and disorganized. No wonder it only handles 16M tonnes in a year.
Uheheheh yani unajitekenya kisha unacheka mwenyewe hio 16 iliku 3yrs back now we are heading to 22m tons my friend mpaka 2025 tutakua na 25m tons ndio aim
 
Unaongea hapa yet sisi ndio tunacontrol your tourism industry 🤣😂. Can't you see wakenya ndio wako wengi hapo😂😂
Umeanza kutapika nyongo sasa mm nilikwambia wakenya wengi wanakuja tanzania kula maisha na sio watanzania kuja kenya 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uheheheh yani unajitekenya kisha unacheka mwenyewe hio 16 iliku 3yrs back now we are heading to 22m tons my friend mpaka 2025 tutakua na 25m tons ndio aim
Acha uongo Dar handled only 17M tonnes in 2021.😂😂😂
 
Umeanza kutapika nyongo sasa mm nilikwambia wakenya wengi wanakuja tanzania kula maisha na sio watanzania kuja kenya 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtowe pesa wapi ya kuja kutalii Kenya? Watanzania wengi wanakuja Kenya kama ombaomba.😂😂😂
 
Uheheheh yani unajitekenya kisha unacheka mwenyewe hio 16 iliku 3yrs back now we are heading to 22m tons my friend mpaka 2025 tutakua na 25m tons ndio aim
Ati 22M tonnes? Kama ports zenu zote ndio hata hazifiki 19M, Sasa hiyo 22M Dar itatoa wapi?😂😂

Screenshot_20220924-155126.png
 
Sasa nani msema kweli kati yako na yule mwenzako aliyesema Dar port pekee yake ilihandle 22m tonnes wakati ports zenu zote hazifiki hata hiyo 22m?
Alafu hiyo 19M includes hadi ports za lake Victoria and Tanganyika. Yani anything with a name port wameunganisha lakini bado hawafikii hata 2/3 of Mombasa port alone. Again those figures are for full year ending June.
 
Back
Top Bottom