The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kawaambie wabadilishe waiweke kunyatta










Kawaambie wabadilishe waiweke kunyatta










Hapa Hata mtoto mdogo atakuambia which one is bigger.
KU Library.
View attachment 2445423View attachment 2445425
Vs
Chinese donation.
View attachment 2445426











Na yale matatuu anatengeneza nani? Magari yana pcs za nondo nyingi kuliko floor ya ghorofaDone by LSHS. The kind of competition going on between Master Fabricator, AVA, Banbros, Choda and LSHS is the reason Kenya produce beautiful buses.
Toa uchafu hapa.
Electrifitried SGR ya Tz ni ndefu kuliko zote Afrika usitegemee iishe kwa miaka miwili kama MGR yenu mnayoiita diesel SGR.Hawa
Hawa ndio wanafanya SGR ichelewe,
Ndio biashara zao zisikufe!!!
Wewe huna bank account ju salary ya soja haiwezi taxiwa ju iko chini ya minimum wage. Unalipwa in cash kama mtu ananunua malenge kwa soko.Wewe ambaye hata simu ya kupiga picha angalau kdg huna ndiyo unaongea haya maneno?![]()
Wewe hua pumbavu naturally ndio maana masomo ilikukataa. Ungesoma hadi university ungejua Universities hua na kitu inaitwa Main Campus.
Tuoneshe mashamba yako wapi.Utapiga tu domo hapo while the whole world knows that Kenya is the biggest avocado producer in Africa.
View attachment 2445723
Mshahara ya watch man kabisa. Noti moja ya elfu kumi ya tz hapa Kenya ni mia tano pekee. Ulikataa kubeba kalamu ukiwa shule, sasa ona unalipwa elfu kumi kwa mwezi ubebe rungu siku mzima.
Robo ya hiyo pesa unanunua simu yako ya ukungu na change nyingi inabakiMshahara ya watch man kabisa. Noti moja ya elfu kumi ya tz hapa Kenya ni mia tano pekee. Ulikataa kubeba kalamu ukiwa shule, sasa ona unalipwa elfu kumi kwa mwezi ubebe rungu siku mzima.












We ulikataa kusimama na Dar ndio uko hapa kutetea Mbeya?aliekuloga alikuweza sana
Mbeya itakupa Hkma bure mji wa ajabu sana ule



Tanzania leads Africa avocado production
Nairobi > Dar
Mombasa > Mwanza
Kisumu > Arusha
Nakuru > Mbeya
Eldoret > Tanga
Sasa hii miji yenu kubwa iko wapi?
Hivyo vitown vidogo Sana. Nimekulistia the 5 biggest Kenya na the 5 biggest Tanzania. Najua ukiamua kuwa mkweli utajua za Kenya top 5 ni Kubwa kuliko za Tz top 5. Alafu population ya municipality many times hupotosha maanake ni population within demarcated boundaries which may or may not be urbanAssuming Zanzibar and Dodoma doesn’t exist hahaha
And then …
1.Moshi
2.Morogoro
3. Tabora
4. Iringa
5. Kigoma
6. Mtwara
7. Songea
8. Bukoba
9. Singida
Niendelee??
10. Kahama
11. Shinyanga
12.Musoma
13.Sumbawanga
14.Lindi
15. Njombe
Above mentioned are Municipalities with over 200k respective urban populations .. all of them are well connected with Roads and Power and Public Referral
Plus hundreds of Townships with 50k to 100k population that are also connected with Paved Roads and Power, I can mention them
You can check on YouTube drone shots.
Acha kuokota hivyo vipicha vya zamani vya mitandaoniSINGIDA
View attachment 2444978View attachment 2444980
IRINGA
View attachment 2444983
TOBORA View attachment 2444988
MOROGORO
View attachment 2444991View attachment 2444994
Afadhali Morogoro kwa kiasi kikubwa. Hizi miji mengine umetaja hayana tofauti na Mbeya
Wewe soja hujaikuwa na akili hata kidogo. Hiyo ni capacity ya City campus library that's located in Nairobi CBD.
Brenda ukatafute Rika Yako ushindane naye. I don't engage watchmen.Mm nataka battle mm na wewe kama upo tayari tuachane na hao wa mtandaoni.
Zile mostly zinatengezwa na KVM (Kenya Vehicle Manufacturer)Na yale matatuu anatengeneza nani? Magari yana pcs za nondo nyingi kuliko floor ya ghorofa
Sent using Jamii Forums mobile app