Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,951
- 27,926
Day yake ya kulipwa mshahara ikifika anapanga foleni like kindergarten kids waiting to be served😂😂😂. After kulipwa anaenda kuzianika kwa meza, anapiga picha alafu anazikeep chini ya mattress.Wewe huna bank account ju salary ya soja haiwezi taxiwa ju iko chini ya minimum wage. Unalipwa in cash kama mtu ananunua malenge kwa soko.

