Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I know of village city called Mwanza na Arusha.., na eti Ka Dodoma..., Mbeya!!..., Tz ni Uganda ingine.., do u know Uganda has more cities than Kenya eti? yaani 10 cities!! sasa ndio Tanzania,๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Hiyo Mbeya haiwezani hata na Kisii town
 
Hivyo ni viwanja vya CCM, CCM wenyewe hawawezi kuviendeleza bila msaada wa serikali na kodi zetu.. kwenye hayo majadiliano ya familia moja (Baba Serikal na Mama CCM) kwann wasiviuze moja kwa moja kwa serikali

Afu kwa mantiki hio ya majadiliano, ule uwanja mpya wa mpira wa serikal mkoani Dodoma tuusahau kbsa kujengwa, (ndo mana hata sijawahi kumsikia akiuzungumzia). CCM wanataka uwanja wao wa jamhuri ndo ufanyiwe marekebisho waendelee kupiga hela. Hapa mama anaiweka CCM mbele kuliko Taifa
Eti anakwambia wanajadiliana na wamiliki, pumbavu yn pesa za serikali zikakarabati viwanja vya CCM kwnn CCM isiviuze kwa serikali ili tujue tunakarabati viwanja vyetu, hv CCM inatuchukuliaje Watz?
 
Hivi unamaanisha ametoa lami kwa barabara ndio akaposti picha ama? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Heheheeeee hii picha ni kali, hakuna uchafu, hakuna slum na hakuna nyumba za hovyo kama mnazomiliki huko kwenu usifosi tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_516262704_512x304.jpg
 
We nawe ni mnuka mavi tu yani picha nzuri za mbeya zilizowekwa humu umeziruka umechagua ile inayokufurahisha, hiyo thika village sehemu kubwa ni chafu na yenye taka kila angle na bado unaisifia, thika ni chafu sana usiipe sifa isizokuwa nazo mnuka mavi wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thika town
images (29).jpeg
images (30).jpeg

Mbeya city ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
20221211_111154.jpg
 
Heheheeeee hii picha ni kali, hakuna uchafu, hakuna slum na hakuna nyumba za hovyo kama mnazomiliki huko kwenu usifosi tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444782
Hii picha inawauma sana, kwanini haikua Karen ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
I know of village city called Mwanza na Arusha.., na eti Ka Dodoma..., Mbeya!!..., Tz ni Uganda ingine.., do u know Uganda has more cities than Kenya eti? yaani 10 cities!! sasa ndio Tanzania,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu itaje tena Dodoma nikuripue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijumba vitano wanapiga picha chini ili kuongopea watu, hawa jamaa bhn, waongo waongo sn mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444792
Wacha kujitekenya wewe bongolala. Loresho is so big, plus it's organized and green as well. Does it look anything like your slummy dremhouses spread all over your city?
Screenshot_20221213-110539~2.png
Screenshot_20221213-110607~2.png
 
Wacha kujitekenya wewe bongolala. Loresho is so big, plus it's organized and green as well. Does it look anything like your slummy dremhouses spread all over your city?
View attachment 2444810View attachment 2444811
Aerial hii hapa, au weka picha ya juu kama hii usiizoom pumbavu wewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1670918377263.jpg
 
Aerial hii hapa, au weka picha ya juu kama hii usiizoom pumbavu wewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444812
Kwani hizo picha mbili nilizoweka sio aerial photos? Ama uelewa wako wa neno aerial photo ni nini? Picha yangu ya pili na hiyo picha yakoo ni ya sehemu moja, they are both from Google Earth, na zote ni aerial photos. Wewe ni kilaza sana aise!
 
Kwnn unazoom sasa, unataka kumuongopea nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We nawe ni mnuka mavi tu yani picha nzuri za mbeya zilizowekwa humu umeziruka umechagua ile inayokufurahisha, hiyo thika village sehemu kubwa ni chafu na yenye taka kila angle na bado unaisifia, thika ni chafu sana usiipe sifa isizokuwa nazo mnuka mavi wee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni coverage kubwa.., CBD ya Mbeya wewe hauoni?.. this is the epicenter ya Mbeya mjukuu.., tazama from background kuleee, to the foreground., huwezi linganisha Thika na ata KaDodoma kenu., wacha kujitoa ufahamu, unajiliwaza na vijimaneno eti., pole mko down sana. eti Mbeya ni city Tanzania๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
20221211_111154-jpg.2442749
 
Back
Top Bottom