dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
huyu mpishi mkikuyu ni mtu namjua vizuri sana.. mi siwezi kula mutura mahali popote... mwanzo huyu mwangi ana wateja wengi sana hadi magari zina park jili tu ya mutura yake!Hapo sehemu mtura unapopikiwa unaweza ukala mtura wa mbwa au paka sio kwa mazingira hayo please.
ni kijana anajituma sana, na hana ulaghai ama utapeli. mfano supu yake aongezi ongezi maji hata🤣