NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Nimesoma hayo maandishi hadi nikacheka, ni kama nimechukua picha ya kwengine nikaposti kama Mbezi yet ni wao wenyewe waliopost hiyo picha. 🤣 🤣 🤣Hivi unamaanisha ametoa lami kwa barabara ndio akaposti picha ama? 🤣 🤣 🤣