Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inatakiwa watu wakaze sana buti
Ila tuambie wewe unatengeneza pesa ngap kwa mwezi?Usikute unawacheka watu Wa Dar alafu wewe unazingua
Venue umekasirika hivi inaonekana you are in the same group na The best 007 earning a salary of $100 per month🤣🤣😂
 
Mambo ya uongo uongo kama haya ndio mnapenda, mna maisha magumu alafu mnajiongopea kwa vitu vya kipumbavu kabisa kama hivi. Malizeni njaa kwanza.

Hawa nawajua vizuri mzee hahah,
Nina wanangu wapo hapo naipori Wakijaga bongo Mimi huwa nawatembeza viwanja vya maana hapa bongo tunapiga gambe hadi saa nane usiku, halafu nasimamia tu show kawaida kabisa, ila nikiendaga aisee kila mmoja na excuse
Siku moja nikamkomalia mmoja nikamfuata sehemu moja chocho aisee anakunywa bia amejikunyata na makoti ya kizee, bia inanywewa Kwa mahesabu mama e aisee ,
Ila nawaelewa naipori ni mji stressful na harsh sana kwa maisha ya Mwana damu..

Halafu Huku mimi nasimamia show, nampa na ofa na tip mhudumu, tunakula mbuzi, halafu mipango yangu ya maendeleo inadonga smoothly pasi ya kukamia
Hawa wana maisha magumu sana.
Sema wana Vibe sana huwa nafurahi sana kuwa nao.

My take. Waache kuigiza uzungu na waishi maisha yao halisi.
 
Kibera has better roads than the best neighborhood Tanzania.


20221212_210541.jpg
20221212_210544.jpg
 
Data for Year Ending Oct 2022
Manufctred good exports increased to 1.5bil usd not bad we should target 3bn bt 2025

Tourism 2.3bil usd total no of tourist 1.38m

Also we can improve more kwenye cereals

Exports goods and services 11.8 billion

Imports 16b. Mainly oil and Machinery beacuse of undertaking big projects, SGR, ports expansion, JNHPP , Electrification , Kinyerezi Expansion . and Industrial machines
Screenshot_20221212-211736_ReadEra.jpg
Screenshot_20221212-211725_ReadEra.jpg
 
Back
Top Bottom