Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera ni slum na ni sehemu ndogo sana ya Nairobi na bado kuna barabara
Kibera-Bypass.jpg
. Nyinyi kwa dream houses bado hamna barabara. 🤣 🤣 🤣
thumb_mpuvmofijg0slqjwtm5aed599030e27.jpg


Ila kwa mitaa ya mtu wa kawaida Kenya kuna barabara safi sana. Ebu checki

Umoja

View attachment 2444718
Kariobangi
View attachment 2444721


Pipeline

View attachment 2444722
Hapa Hakuna Barabara?
20221211_111154.jpg
that_mbeya_guy_1670704698286727.jpg
 
Hater wa Samia watasema CCM imenipa kazi 😆😆.

Mimi Ni mjumbe tuu jamani nafurahia kazi nzuri ya Awamu ya 6.

Dk Samia anaendelea kujizolea tuzo 👇
Screenshot_20221212-141132.png
 
Miji ya kibongo inajengwa kambe wenyewe hawatawai nunua magari, yani unapata nyumba zimerundikana hamna hata pa gari kupitia. 🤣 🤣
Kama mitaa za Dar karibu zote, ni panya routes yaani corridors, unapita nyuma ya nyumba za watu unaweza kuskiza kile kinaendelea ndani., madirisha ni wiremesh, vasco da gama kinda😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Huyu ndo rais wenu. Kazi ipo
Kaondoka bila kuaga hata mapichapicha ya akiwa JNIA hatukutaarifiwa
Yani nchi inapigwa kwa ss balaa, rushwa kila kona, immigration ndio usiseme yn ni wazi wazi, mashirika ya umma yapo taabani, ATCL iko hoi A220 zote hazifanyi kazi, kila siku ni ugomvi na abiria.

Yani kila kitu kipo hovyo, mama hajui chochote na wala hajui aanzie wapi zaidi ya kusafiri safiri, uongozi wa nchi co kila mtu anaweza jamani ifike maala wananchi tupaze sauti, tusikubali huyu mwanamke arudi ofisini tena, tutakuwa wapumbavu wa mwisho tukiruhusu hilo kutokea, ni failure everywhere.
 
Ila bado ni below standard, housing ni zile muundo ya kizamani.., mji unakaa ancient town in 2022, has an old look, looks like most Ugandan towns..,
20221211_111154-jpg.2442749

A town should look like this (Thika town) kwa mfano, haijafika ila inaonyesha it is a town, Mbeya has a village look, hope Mbeya haijatajwa kama city in Tz kwa vile serikali yenu na ya Uganda wako na hio tabia ya kutaja substandard towns eti ni City...,
View attachment 2444639
View attachment 2444641
View attachment 2444640
We nawe ni mnuka mavi tu yani picha nzuri za mbeya zilizowekwa humu umeziruka umechagua ile inayokufurahisha, hiyo thika village sehemu kubwa ni chafu na yenye taka kila angle na bado unaisifia, thika ni chafu sana usiipe sifa isizokuwa nazo mnuka mavi wee
 
Back
Top Bottom