Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnacolonize au mnakuja kufanya ujambazi Tanzania? 90% ya wakunya waliopo Tanzania ni majambazi, wenzako wapo Kisongo gerezani wanapakwa mafuta!


Kumbe kuvunja kioo ndio unaongelea? Nilikuwa nadhani wanepatikana wakiuza dawa za kulevya ama wakiombaomba barabara I kama watanzania 😂😂🤣

images (5).jpeg

1670757283450.png
 
Sasa bank zenu zinakuja kufanya nini Tanzania?
Kuchukua the little that you have. Pesa hakuna Tanzania and that's why there's no money flow in your country. Mtu amekubali heri apigwe na jua na kunyeshewa kando ya barabara huku Kenya lakini asiteseke huko Tanzania 😂😂🤣
 
Umejibu kama kondoo kumi

View attachment 2442069
Nioneshe wapi kaongopa

Je, mna electrifitried SGR?

Je, mna BRT system?

Je, mna migodi kama Tz?

Je, mna big dam kama Tz?

Je, mna barabara ndefu na nzuri kama Tz?

Je, mna EACOP?

Je, mna bullet train ambazo sisi zitakuja?

Je, hamna slums everywhere?

Je, mna maji ya kutosha kama Tz?

Vingine ngoja niache tu.

 
Back
Top Bottom