Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena ajiandae vizuri sana kisaikolijia 👇
Screenshot_20221211-161334_1.jpg
 
Kutoka kuwa multi billion logistics corridor to/from kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Burundi, Ethiopia, sudan and Somalia mpaka kuwa dalali-tapeli wa mifugo ukanda wa jangwani hii u-turn haijawahi tokea!

Bila shaka kutakuwa na udalali wa mkaa pia toka Kismayo unaoletwa na KDF
 
Nioneshe wapi kaongopa

Je, mna electrifitried SGR?

Je, mna BRT system?

Je, mna migodi kama Tz?

Je, mna big dam kama Tz?

Je, mna barabara ndefu na nzuri kama Tz?

Je, mna EACOP?

Je, mna bullet train ambazo sisi zitakuja?

Je, hamna slums everywhere?

Je, mna maji ya kutosha kama Tz?

Vingine ngoja niache tu.

Ngoja nikusaidie kidogo. Je wana mahindi ya kunywa uji?
 
Wivu utakuua mzee, kwa bahati mbaya.. sisi ndio wakali wa hizi kazi, we ar going to triple your number of SGR stations with different marvelous designs.. for example View attachment 2443034View attachment 2443036View attachment 2443037under way in Mwanza..

Hii ndio ilikua comfort zone yenu tukilinganisha SGR yetu na yenu.. and guess what, you ar no sooner gon have nothing to compete us when its comes to SGR ... Nayajua maumivu unayopitia pole sana
Tena akifikiria kupata speed kama ya Tz sgr inabidi afumue reli yote na kuongeza uimara wa tuta ndio anachanganyikiwa kabisa huku deni bado linamshinda.
 
Back
Top Bottom