Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

An EMU simply means Electric Multiple Unit, the opposite being DMU (diesel multiple unit). DMUs zenu zitakuja but they are not anything clise to what you've been flaunting here na waziri wenu ashaweka hilo wazi kabisa. Sijui ni nini hukuelewa kwenye ile video yake aliyotoa ufafanuzi na kuweka kila kitu wazi
Waambie hata hii pia ni EMU, kwanza from Hyundai mwenyewe. Speed ni 160km/h😂😂😂

images (2).jpeg
 
Methuselah lamu port is operating very nicely. White elephant is your already failed SGR.
Lamu port imeshakufa kabla haijaanza.

DP world wana mradi wa Berbera economic zone hapo Somalia. Ni mradi mkubwa Kwa uwekezaji wa viwanda na bandari. Bado Turkey pia ana kongane kubwa tu ya viwanda na bandari. Katika pembe ya Afrika Somalia ina kwenda kuwa power house. Berbera ina link hadi Ethiopia.
 
An EMU simply means Electric Multiple Unit, the opposite being DMU (diesel multiple unit). DMUs zenu zitakuja but they are not anything clise to what you've been flaunting here na waziri wenu ashaweka hilo wazi kabisa. Sijui ni nini hukuelewa kwenye ile video yake aliyotoa ufafanuzi na kuweka kila kitu wazi
Kwahiyo tumenunua DMU na sio EMU au sio
 
Deni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 🤣🤣🤣🤣🤣,

hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
Deni lote hilo wamejaza slums tu nchi nzima,ukikutana na wakenya 10 kati yao 9 wanaishi kwenye slum
 
KDF controls Kismayo. They decide who to be elected what to be done there.

Lamu port imeshakufa kabla haijaanza.

DP world wana mradi wa Berbera economic zone hapo Somalia. Ni mradi mkubwa Kwa uwekezaji wa viwanda na bandari. Bado Turkey pia ana kongane kubwa tu ya viwanda na bandari. Katika pembe ya Afrika Somalia ina kwenda kuwa power house. Berbera ina link hadi Ethiopia.
As long as Ethiopia and Kenyan armies are still in Somalia forget about that. Again how will Somalia serve her neighbors when they don't even have roads connecting them?
 
Back
Top Bottom