The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kwa kuonesha majengo hayo hayo 24/7?Other Africans across the continent have appreciated the progress Nairobi is making and Kenya at large, wame tii., except the jealousy southerners..,
Kwa kuonesha majengo hayo hayo 24/7?Other Africans across the continent have appreciated the progress Nairobi is making and Kenya at large, wame tii., except the jealousy southerners..,
Why are you being this stupid wakati kaongelea EMUs zinakuja kutoka Hyundai Rotem , bora hata Teargas angekuwa this stupid sio weweWewe unasubiri nini wakati waziri wenu ashaeleza kila kitu?
KUna hii nilipata ya Nairobi 😂😂Pale Australia jamaa alimtalaki bibi after kumpata akicheat kwa Google streetview
![]()
Halafu hawa wakapatikana in the act.
![]()
Pun intended
View attachment 2442225
Uyo kawa mwehu kupita maelezo, mnuka mavi kawaharibu kabisa wakundustan wenzake.Why are you being this stupid wakati kaongelea EMUs zinakuja kutoka Hyundai Rotem , bora hata Teargas angekuwa this stupid sio wewe
Ndiyo mjue ujinga waliokuwa wanafanya wakundustan dhidi ya Tanzania, mfano hiyo katengeneza yeye mwenyewe ili kujifurahisha.Are you okay??
An EMU simply means Electric Multiple Unit, the opposite being DMU (diesel multiple unit). DMUs zenu zitakuja but they are not anything clise to what you've been flaunting here na waziri wenu ashaweka hilo wazi kabisa. Sijui ni nini hukuelewa kwenye ile video yake aliyotoa ufafanuzi na kuweka kila kitu waziNakuuliza wewe sasa, hebu niambie EMU zitakuja au haziji?![]()
Unataka tuweke ya waswahili wa pemba zilizojaa darAisee tumechoka na haya majengo ya mchina, yapumzisheni tafadhali.
Umesema bullet trains. Heeheee.🤣Deni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 🤣🤣🤣🤣🤣,
hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
Komora Ni pokomo not digo.hivi naomba tujaribu tu haya maisha kiaći tuone venye itatupeleka..
itakua easier coz tena wewe ni mtoto wakikenya..
mombasani sio far, mwanzo tena mbele ya sgr!...
naomba we give it a try.. utaja amini kua mm ni mshikaji flani muungwana aliye tulia na anayejali sana......
naomba twende inbox.. yani chini ya waba.. niko more than serious..
@komora96 mtoto mdigo toka kizingo.. yaani siwezi choka kutizama hino profile photo yakowah!
acha tu!!
Hii picha ya chini si MUCE! Kuwa na aibu hiyo ni Tumaini University!
Niambie mmepeleka wapi trillion 190?Umesema bullet trains. Heeheee.🤣
Huku ndio trillion 190 ilipochikichia? 😂😂😂😂😂Umesema bullet trains. Heeheee.🤣
Tuliwaambia hapa kuwa lamu ni tembo mweupe mnene

Huu mradi niliwaambia kitambo ni tembo mweupe na Uhuru alikuwa anaufanyia propaganda! hawakuskia, saa hii hamna habari juu ya Lamu port!
Methuselah lamu port is operating very nicely. White elephant is your already failed SGR.Huu mradi niliwaambia kitambo ni tembo mweupe na Uhuru alikuwa anaufanyia propaganda! hawakuskia, saa hii hamna habari juu ya Lamu port!