Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Deni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 ,

hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
Hawana kilimo kama cha Tanzania, hawana migodi kama ya Tanzania na hawana fossil energy inayotumika from their own sources kama Tanzania hivyo our debt is highly sustainable compared to theirs at 100% of GDP.
 
Deni letu ni trillion 91 lenu ni trillion 170 🤣🤣🤣🤣🤣,

hamna brt, hamna 2400 megawatts dam, hamna bullet trains, hamna bandari kama za Tanzania, hamna airports kama za Tanzania, hamna EACOP pipeline kama Tanzania, hamna barabara kama za Tanzania, hamna Universities kama za Tanzania, hamna water systems kama za Tanzania! Hamna hamna hamna hamna hamna
Umejibu kama kondoo kumi

images (1).jpeg
 
Hawana kilimo kama cha Tanzania, hawana migodi kama ya Tanzania na hawana fossil energy inayotumika from their own sources kama Tanzania hivyo our debt is highly sustainable compared to theirs at 100% of GDP.
Trade deficit yao ni zaidi ya $ 12 billion, uchumi wao wote unategemea importation taxes sio domestic production, angalau wangechukua mikopo kuwekeza kwenye strategic production areas, sielewi wamepeleka wapi mapesa yote hayo
 
So you know better than your minister? Hakuna mtu amesema trains zenu zitaenda 200km/h. We've always known that zitaenda 160km/h max. Waziri wenu aligusia speed coz watanzania wengi vilaza you included wanatarajia kuona vichwa vya treni that can only operate at a minimum speed of 200km/h while in reality that is not the case as per your sgr design.

In short, he's just bringing you back to your senses and reminding you that you only get what you designed and burgained for. Umeelewa bongolala?
Nakuuliza wewe sasa, hebu niambie EMU zitakuja au haziji?
 
Back
Top Bottom