Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pale Australia jamaa alimtalaki bibi after kumpata akicheat kwa Google streetview
street-view-2000-be56a5c162864259a72d560bb33f7a4d.jpg

Halafu hawa wakapatikana in the act.
5d02c39c240000511790a7aa.jpeg
Haya mambo ndiyo mnayajua leo? Naona mmeishupalia hyo Google street view utadhani ni jambo jipya, nyinyi watu ni washamba sn aisee.
 
Ni kichaa ndio angeweza kuacha ikiwa lilishakula zaidi ya Til.10..

Alisema ukiacha Ni hasara Mara mbili unless ungekuwa kwenye hatua za awali.

Tunakoelekea Ni kutumia Kodi zetu kulifanya liwe alive,huu Ni upuuzi.

Hiyo sgr line Hakuna mzigo Wala Nini Ila Ni kujifariji tuu ooh tumeangalia Miaka 100 ijayo na blaa blaa zingine.
We uko shortsighted sana,
Malori yanayopita morogoro road to mikoani yatapungua kwa kiasi fulani, tutasave time ya kusafirisha mizigo,barabara hazitakua zinaharibika kwa kipindi kifupi...Itaongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo na watu.

Umeme tunaouzalisha unapata matumizi tanesco watauzia trc umeme na kuongeza mapato hivyo itasaidia kuhudumia na wananchi wengine ambao hawajafikiwa na huduma.

Bandari kavu ya kwala itakapoanza kutumika itapunguza foleni kule kurasini kwahyo port inazidi kua efficient

Kitu cha kukazana nacho ni kuendelea kutanua port ili mizigo iongezeke maradufu
 
Wewe ambae Ni long-Sighted ngoja tusubirie mtakavyokuwa mnahesabu hasara,mumeanza na mabehewa maana mlikuwa mnatuonyesha nyoka Ila uhalisia Ni mapipa afadhari na ya Kunyaland..

Uamuzi wa kujenga sgr ulijikita kwenye hisia za prestige kuliko economic significance👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221108-113819.png
    Screenshot_20221108-113819.png
    40.8 KB · Views: 9
Kama Kawaida Rais Samia huwa hafanyi ziara za bure..

Matunda ya Cop27 ya Egypt haya hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221209-193236.png
    Screenshot_20221209-193236.png
    160.6 KB · Views: 9
Riverside drive. Hapa ndio Muhoozi anatamani Sana kuishi akinyakua Nairobi Kwa ndoto zake. Huku ndio kuna Ugandan Embassy, where their ambassadors don't want to leave.
No major city in Africa can rival Nairobi's greenery.

20221209_194152.jpg
 
We uko shortsighted sana,
Malori yanayopita morogoro road to mikoani yatapungua kwa kiasi fulani, tutasave time ya kusafirisha mizigo,barabara hazitakua zinaharibika kwa kipindi kifupi...Itaongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo na watu.

Umeme tunaouzalisha unapata matumizi tanesco watauzia trc umeme na kuongeza mapato hivyo itasaidia kuhudumia na wananchi wengine ambao hawajafikiwa na huduma.

Bandari kavu ya kwala itakapoanza kutumika itapunguza foleni kule kurasini kwahyo port inazidi kua efficient

Kitu cha kukazana nacho ni kuendelea kutanua port ili mizigo iongezeke maradufu
Kuna msemo wanasema kumchukia mtu ambaye ye hana habari au hajui ni kujiweka in your own prison...
Tangu nimeanzaa kuona post za huyo jamaa na kuzisoma kicuba huyo mwamba anamchukia magu saanaaaaaa yaan saaaaana..
Namuoneaga tu huruma jinsi alivyojiweka kwenye hicho kifungo wakat mhusika ashajilalia zake..
 
Hawa watu wananyonywa kweli kweli. Ati fare from Dar to Morogoro a distance of 200km ni ksh 1,300. Mombasa to Nairobi a distance of 450km is ksh 1000.😂😂

View attachment 2440639
Soma vizuri hilo ni ombi la trc kwa latra ambao watakaa na wadau na kuamua nauli itakuaje,wakati brt inaanza kufanya kazi udart walipeleka maombi yao ilikua ni elfu 2 hivi latra wakafanya Tzs 600
 
Kuna msemo wanasema kumchukia mtu ambaye ye hana habari au hajui ni kujiweka in your own prison...
Tangu nimeanzaa kuona post za huyo jamaa na kuzisoma kicuba huyo mwamba anamchukia magu saanaaaaaa yaan saaaaana..
Namuoneaga tu huruma jinsi alivyojiweka kwenye hicho kifungo wakat mhusika ashajilalia zake..
Hate ni kama cancer inakutafuna tu taratibuu..
Mwisho ananza onekana ka mtu mwenye mental issues...
 
Back
Top Bottom