Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We uko shortsighted sana,
Malori yanayopita morogoro road to mikoani yatapungua kwa kiasi fulani, tutasave time ya kusafirisha mizigo,barabara hazitakua zinaharibika kwa kipindi kifupi...Itaongeza ufanisi wa usafirishaji mizigo na watu.

Umeme tunaouzalisha unapata matumizi tanesco watauzia trc umeme na kuongeza mapato hivyo itasaidia kuhudumia na wananchi wengine ambao hawajafikiwa na huduma.

Bandari kavu ya kwala itakapoanza kutumika itapunguza foleni kule kurasini kwahyo port inazidi kua efficient

Kitu cha kukazana nacho ni kuendelea kutanua port ili mizigo iongezeke maradufu
Unapoteza mda wako kumjibu mtu asiyeeleweka anataka nn.
 
Izo bei zipingue kidogo bado ziko juu sana yani kwenda dom 71K? Apo hapana
Embu tuwaulize majirani zetu kwanza kama toka Nairobi mpaka Mombasa inachukua masaa 2 kwa train kama ya Tz badala ya over 5 hours kama ilivyo sasa wangelipa sh ngapi?

Tunaomba ushauri wenu jamani maana nyie ni ndugu zetu wa lazima.
 
Acha ujinga there's no train in Tanzania that covers a distance of 450km within 2 hours😂😂🤣

Bullet hiyo ina speed kubwa kuliko hiyo nginja nginja yenu.
Speed ya 160km/h ni kitu ya kuringa nayo? Both our trains are doing less than 200km/h but ya Kenya is more effective kuliko yenu juu insbeba watu wengi.
 
You are clueless na pia unatetea ujinga. According to your reasoning then Kenyan SGR trains should be more expensive than yours cause yetu inatumia diesel which is more expensive than electricity. Since you are a fool, you can't know that.
Yours is cheap because it takes long to arrive kwa destination.
 
Hehehe this project was really over hyped. Now it's time to cry

Those fares were proposed by TRC. LATRA which is a land transport authority has to review the rates in consultation with stakeholders and advice TRC on what rates to use.
 
Those fares were proposed by TRC. LATRA which is a land transport authority has to review the rates in consultation with stakeholders and advice TRC on what rates to use.
As you cry, sisi on this end ni kuwacheka tu polepole. Ebu sikuliza waziri wenu😂😂🤣

Heheeheee jamani tazameni hii video kadogosa kaumiza watu huku, anasema wazi kabisa tuna mkataba na hyundai wa kutengeneza EMU lkn huyu mkundustan anajifanya hajasikia
Hyundai anatengeza hadi hizi😂😂🤣

1670611080835.png
 
Back
Top Bottom