Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siafikiani na nauli zao lakini unachekesha sana kufananisha nauli za bullet train na train zenu za kuni 😂😂😂

Ninyi kwanza ilitakiwa iwe bure kabisa
bongolala, bullet trains don't look like this
wagon~2.JPG
 
Mzee tukianza safari saa moja Tanzania na ninyi, train ya Tanzania inakua mbele yenu kwa kilometers 50 ndani ya saa moja tu, nusu saa tayari tutakuwa tumewapita kwa kilometers 25, sasa tupo sawa?
How do you expect us tuwe sawa ma hata hesabu yenyewe hujui?
 
😂😂😂😂😂 Ndio unalia sasa? Yaani unalinganisha railway yetu na yenu kabisa?
I am ot comparing anything with you. Just reminding you that bullet trains don't look anything close to that
 
Mimi usinililie😂😂🤣


Ila.unapochekelea usisahau kwamba siku 100 zimepotea na kina Ruto wameshindwa kupunguza gharama za maisha kwa Hustlers wake na badala yake Hali imezidi kuwa worse..

And matokeo yake watu wamekata tamaa na wanamlilia RAO akinukishe huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221208-200930.png
    Screenshot_20221208-200930.png
    225.9 KB · Views: 23
Sasa mbona mama yako kaiendeleza ?
Ni kichaa ndio angeweza kuacha ikiwa lilishakula zaidi ya Til.10..

Alisema ukiacha Ni hasara Mara mbili unless ungekuwa kwenye hatua za awali.

Tunakoelekea Ni kutumia Kodi zetu kulifanya liwe alive,huu Ni upuuzi.

Hiyo sgr line Hakuna mzigo Wala Nini Ila Ni kujifariji tuu ooh tumeangalia Miaka 100 ijayo na blaa blaa zingine.
 
Back
Top Bottom