Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa watu wananyonywa kweli kweli. Ati fare from Dar to Morogoro a distance of 200km ni ksh 1,300. Mombasa to Nairobi a distance of 450km is ksh 1000.😂😂

View attachment 2440639
Siafikiani na nauli zao lakini unachekesha sana kufananisha nauli za bullet train na train zenu za kuni 😂😂😂

Ninyi kwanza ilitakiwa iwe bure kabisa
 
Naona mlibana hawa fisi kila kona.., dawa ya Mtanzania ni facts, wabakie na domo domo..,
GoogleStreetView nikama BabaLevo.....

yaani, it is a 'Magic Bullet' for these vilazas next tyme watajaribu kuleta ubishi 🤣🤣🤣

hope wakenya wote humu, mnanipata.!

yaani tutawakisigina na hii formulae kilamara watajaribu kuleta umbeya😹😹 hadi wabaki kunduwazi
 
Mombasa terminus better than any sgr station in tanzania
kenya sgr.png
 
Speed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
Izo bei zipingue kidogo bado ziko juu sana yani kwenda dom 71K? Apo hapana
 
Speed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
You are clueless na pia unatetea ujinga. According to your reasoning then Kenyan SGR trains should be more expensive than yours cause yetu inatumia diesel which is more expensive than electricity. Since you are a fool, you can't know that.
 
Speed? (120kph vs 160kph) Fuel source? (Diesel vs Electricity) Comfortability on board?
Ndo mana mfano kwenye bus, kwa uzoefu wangu, safari ya Dar-Dom, kuna semi luxury (shabiby) ni 25k, na luxury (shabiby) ni 45k.
In short hakuna uhusiano wowote kulinganisha bei za kunyaland na bongo
Bado kubwa mzee , tena fuel source means ours should be cheaper to run . I expected Nauli isizid 12k kwa daraja la kawaida , maybe 20k kwa daraja la kati na 35k kwa 1st class Dar to Moro
 
Idiot. What's there to read, figures are exposed there for you to see. That table doesn't require magic to interpret.
Umeambiwa hizo ndio final nauli???
Wee jamaa **** kweli yaan cjui unakujaga humu umelewa... fala kweli
 
Back
Top Bottom