REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,665
- 11,669
Google neno "Anchor economy in East Africa" utapata jibu kutoka kwa bodies tofauti..., ata Kenya yenyewe haijitaji kama anchor economy, dunia inajua, liko wazi sana. mifukara wacheni kelele, kueni wapole, pengine vitukuu vyenu vitashuhudia Tz kufikia kuitwa "anchor economy".., idiots liked your post😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2432593
kuwashinda nyinyi..!🤔Kwanini unapenda sana kuwaabudu SAns?
Isipoteze muda wako na hawa nyang'au. That's what they do best! Kiss ass!!Kwanini unapenda sana kuwaabudu SAns?
ata tayari nimekwisha gugo bro.Google neno "Anchor economy in East Africa" utapata jibu kutoka kwa bodies tofauti..., ata Kenya yenyewe haijitaji kama anchor economy, dunia inajua, liko wazi sana. mifukara wacheni kelele, kueni wapole, pengine vitukuu vyenu vitashuhudia Tz kufikia kuitwa "anchor economy".., idiots liked your post😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2432593
Alaf akaonesha na ushahidi pia 🤣🤣😂😂😂😂 Achana na huyo kichaa
Angalia wakenya wenzake waliotoka kwenye hicho kichuguu wanavyoshuhudia Tanzania 😂😂😂
Miaka minne sasa wanahangaika na BRT na walitumia a lot of millions kuchora na kupaka rangi thika highwayKiosk ni hiki hapa [emoji16]View attachment 2432845
Destroying EAC speech, hata measure iliyochukuliwa na wakunya kupeleleka jeshi bado sio sawa, vita haiwezi leta amani case study Afghanistan, Iraq, libya and so on[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr Slim kama Comedian vile lakini ndio anamaanisha hivyo!
Mjambiani mpumbavu ana upiga mwingiDaraja la bilioni saba
View attachment 2431734
Takataka ya chooni [emoji40][emoji40][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Sinaga huo ujinga na Mimi kazi yangu Ni kuwakera haters wa SSH,mtaita kila jina Ila sijawahi toka kwenye reli..
PhD ya heshima ameipata kutokana na mchango wake mzuri kwenye Uchumi na diplomasia.
Ukitaka sawa,ukinuna sawa none of my business [emoji116]
Cheki kulivyo kusafi hadi raha yaani [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]5 years old public infrastructure!
Mkenya yeyote anioneshe city transport area safi kiasi hiki ukiondoa airport na SGR!
Ukiipata naondoka JF!
View attachment 2431796
Mkuu, kuhusu chakula, Urusi imetoa shutuma kwamba chakula kilipelekwa nchi za Ulaya, lakini Ukraine ikakanusha, vipi umeamua kuamini upande mmoja bila hata kupata ushahidi?.‘Almost all’ Ukrainian grain reaching European nations: Putin
Ukraine denies Russian leader's claims that grain export under UN-backed deal was mostly helping EU.www.aljazeera.com
Unasema Ulaya hawapindishi maneno? Du! Angalia hapo chini bosi wao Ursula anavyopindisha maneno katika video alizozitoa jana.
Kwenye original video (kushoto) aliongelea jinsi Ukraine ilivyopoteza zaidi ya wanajeshi 100,000 vitani. Sasa baada ya kugundua amekiri hadharani ukweli ambao ulitakiwa kuwa siri (the narrative is, Ukraine is winning), akaifuta hiyo video (kushoto) na kuiweka video ya upande wa kulia. Udenda ukiwa unamtoka kutaka kuiba 300billion Euros za warusi, akajisahau kuwa hakutakiwa kukiri hadharani kuwa Waukraine wengi wamekufa.
mbona wasitue Kisumu International airport au Moi international airport Mombasa au Edoret international airport?
Majuzi tuu Ukraine na vyombo vyote vya magharibi vilisema Urusi imedondosha kombora Poland. Hata Biden aliposema hakuna ushahidi kuwa kombora limetoka Urusi, Ukraine bado waliendela kudanganya. Picha zilizopigwa na mkulima wa Poland zilionesha mabaki ya kombora hilo ni la Ukraine, lakini bado Zelensky aliendelea kuudanganya ulimwengu. Utawaamini vipi watu kama hawa?Mkuu, kuhusu chakula, Urusi imetoa shutuma kwamba chakula kilipelekwa nchi za Ulaya, lakini Ukraine ikakanusha, vipi umeamua kuamini upande mmoja bila hata kupata ushahidi?.
Hapo sijakuelewa, unaongelea nini?Kuhusu hili swala la Wazungu kutumia njia za janjajanja, hapo umechanganya na haya maelezo uliyoweka haya uhusiano na tunalozungumza.
Ulaya wanakaribia kuacha kutegemea gesi ya Urusi? Aisee, sidhani hata unauelewa mzuri wa kinachoendelea.Tunachozungumza ni kuhusu nchi za Ulaya kutumia mgogo wa nchi za Africa kupata chakula toka Ukraine, nimekuambia hiyo sio kweli, kwasababu Europe wanategemea gesi ya Urusi kwa 45%, lakini kwa kipindi chote tangu vita kuanza, wamekuwa wakisema na kupanga mikakati ya kuachana na gesi ya Urusi, hivi Sasa wanakaribia kabisa kuacha kutegemea hiyo gesi, vipi washindwe kuagiza chakula toka mataifa mengine wakati nchi nyingi duniani zinalima na kuzalisha hizo chakula badala yake eti watumie ujanja?
[emoji1787][emoji1787][emoji115]Naona umeweka picha ya shoga ...mwenzio ndiyo iliyo kuvutua zaidi ngoja nimwite Geza Ulole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania itakuwa world giant supplier wa helium Duniani..
New commercial Discovery at Nyasa/Kyela Mbeya go be published next year besides that of Rukwa [emoji116]
Hakuna Airport kule zaidi ya JKIA huo ndio ukweli.mbona wasitue Kisumu International airport au Moi international airport Mombasa au Edoret international airport?
Can Teargass n NairobiWalker explain?
Hakuna Airport kule zaidi ya JKIA huo ndio ukweli.
Buffoon as usual.., and we top you in all fronts.., u have no idea what u are responding to, uliandika ili mradi tu., idiocy on steroids.,Mnajenga cities on what economic base? Au mnagonjea loans za France waje wawajengee railway city? This is beyond pathetic. Only 9% of Kenyans are in permanent employment the rest ate hustlers cannot afford decent accommodation sasa sijui hizo nyumba na majengo yatakuwa occupied na nani. Kenyan real estate sasa hivi imeshuka sana baada ya experts wengi kuondoka.
Wekezeni kwenye vitu vya kulift majority of Kenyans out of abject poverty kwanza hayo ya cities yatakuja yenyewe tuu huko mbele.
Mfano inueni kilimo ili watu wasife na njaa maana mnapoteza nguvu kazi nyingi tuu kwa njaa.