Ila mzee unafurahisha wewe [emoji23][emoji23] mtanzania wa kawaida anakula vizur more than this, ngoja nikuonyeshe.. binafsi wala sina maisha ya watanzania wa kipato cha kawaida, kipato changu mimi ni cha chini tu . Lakini kula yangu mzee 2k tz sh[emoji116]mama ntilie tu
View attachment 2430260..
View attachment 2430261hata nikipikaga mwenyewe magetoni still natoa unyama kama huu [emoji116]
View attachment 2430262View attachment 2430263View attachment 2430264.. haya ni maisha yangu mimi muuni tu wa magetoni, sasa kama wewe unajisifia maisha mazuri [emoji1787][emoji1787] halaf ni engineer sijui [emoji1787][emoji1787]. Basi uko kwenu msosi ni anasa ..