Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uliandika kwa maumivu sana kujiliwaza tu, umeumiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ukweli ina kuachaga hoi., madeni hamuwezi kulipa taifa fukara, utapia mlo, ufukara wa kutupwa kwa raiya yaani 80%.., 90% mnaishi nyumba duni na maisha duni ya kimasikini, sio porojo, google earth haidanganyi na haina mapendeleo, haiwaonei yaani inaonyesha Tanzania yoote! eti vingunguti pekee, nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unajaribu kutetea kile kilicho wazi, Dar na Tanzania yote 80% ya makazi ni uswazi, usijitoe ufahamu kifala mjukuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., inauma ila zoea mapema upone, sitakuacha mimi hadi unyooke kwa ukweli., ukitaka lia kabisa na upige nduru, ukweli haubadilishi wewe, jipende mlivyo, usione aibu, ni mambo ya dunia yalivyo, jikubali bro hautapigwa na mtu, ombea taifa lipate maendeleo mwafaka wacha kulia lia na kutetea ujinga, hadi raha,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya nielezee na hizi hapa [emoji116]
Zinapita wapi?
 
Tembea uone dunia usikae tuu hapo Nyarugusu ukaona ndio dunia.
 
Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua

Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.

Unaishi dar na hujui lolote sad
Bado nasubiri maana ya Ring Road toka kwako. Ili nielimike na mimi pia.
 
Nairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.
Ukweli iliuma hadi kwa mishipa, unaugua kweli, hadi unatukana mwenzio, wewe ni fala kweli.., mbona liko wazi kilaza, vumilia hauwezi badilisha lolote, zoea tuπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii Dar is slum moja, nenda ukadanganye wamalawi kuleeeee, wasio ijua na kuiona Dar..., city ya ka CBD kamoja na makazi vitongoji 80%.., ujinga tuondolee.., mko hovyo it's a fact!, inauma sanaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] this Danganyikan needs a brain transplant
 
Kwenye barabara wanatuzidi,expressway Dar hatuna,ring roads zao ni dualcarriage ways zetu ni single lanes,Nairobi wana Airport 2 dar iko moja hivyo ni vitu basics kabisa
Nairobi kuna airport tatu. Mbili za civilian (wilson & jkia) na moja ya jeshi huko Eastleigh airbase
 
Tuonyeshe zenu Za kisasa kwanza
Kenya hatukusema tunaleta train za kisasa, serikali ilisema italeta train ambazo zinaambatana na sgr na kazi zake.
Sasa mbona mabehewa yenu ya bullet train yanafanana na mtambo wa diesel wa Kenya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • JamiiForums1055672632.jpg
    97.8 KB · Views: 39
Mbona ukweli inawauma sana? mnatia huruma, jikubalini tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

HakaπŸ‘‡πŸ‘‡ ka straight line building with lipstick ndio state of the art airport, na terminal moja ya maana pekee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., ujinga laana..,

VS
A complex..., with even cargo terminals za adabu..,

Nairobi has Wislon Airport and Eastleigh Aiport.., Dar je?..,

Ringroads za Dar ni level ya barabara za estates, hakuna dual carriage ways with interchanges.., Dar bado.,
Tanzania yoote haina expressway or super highway.., iko tu na Kibaha highway., Uganda imewazidi kwa hili..,

Dar bado sana., ringa na BRT na bridge pekeyake kwa vile Nairobi haina bahari..,
One of the ring roads..,

Superhighway

Expressway


Mombasa ndio inakimbizana na Dar, ukweli kubali..,
Mombasa density..,



 
Behewa siku hizi zinatumika kwa magari au bado zinatumika kwa treni?
Unaumia ukiwa wapi, mpk unachanganya behewa za kisasa unaita treni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…