Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujenzi wa nyumba ni scam na nkia ya kitakatisha pesa pia kuhamisha pesa.

China wanashida ya kiuchumi kwa sababu ya haya mataka taka.


South Africa kuna viwanda vimejengwa ktk Miji kama chato vina madeni na riba. Hakuna michezo ya maana ya kujaza watu tena baada ya world cup. Gharama ya ukarabati na kuendesha ni kubwa kuliko mapato achilia mbali riba na Mkopo.


Ndio ujinga wamefanya mifuko ya hifadhi Tanzania. Wamejenga kila mikoa eti usawa na kupendezesha Miji. Sasatalipa na mavi na bado yatachakaa na kuharibu Miji.
Sipendagi watu wanaolalamika tu kama Wanawake....


Hebu lalamika na utoe solution vinginevyo inakuwa michambo na umbea...


Both kenya and Tz zinasafari ndefu katika kupata maendeleo ya kweli...kulalamika tu hakusaidii chochote

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
I was in a moving car
Haya hii nayo ulikuwa kwenye moving car?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_157766201_390x520.jpg
 
Wati iz this? Ze kualiti of ze kamera thou [emoji28][emoji23]..
ndo mana wanaogopaga kupost picha za waliopiga wao wenyewe [emoji23].. afu huyu ndo alisema anafanya kazi ikulu ya kenya?[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatakiwa ajitahidi eneo la Panning Photography. Sema equipment yake nayo inatakiwa iwe na afadhali.
 
Hivi kuna anayemuelewa huyu? Mbn wakenya huwa hawaeleweki kabisa wanachoongea!! Huwa najiuliza hivi hawa huwa wanaelewana kweli? Mana hata wakiwa kwenye mijadala huko twitter cjui huwa wanaongea manini, yn hawaeleweki kabisa hawa jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nachopendea nchi yangu ni kwamba... Inapenda vitu vizuri.. Na vitu vizuri inavijua... Hata atoke mjenzi kutoa nje huko.. Lazima apewe muongozoo..
Zamani walikuwa wanasema kununua SUV ni kwasababu ya barabara mbovu, sasa hivi mkeka kila sehemu, hadi Kibondo huko kuna lami. Je dhana hiyo bado inamashiko au ndio kupenda vitu vizuri?
 
even cyril ramaposa himself admited tht only south africa and kenya are the only two countries that determines the economic direction of the whole eastern and southern africa sub continent region.. and thats why he had every reazon to come over to kenya first before any other country in the great lakes region including tanzania and ethiopia..
he also said, that was the main reazon why he was doing away with visa restrictions between these two economic giants!

[nb: SADC countries, led by Tanzania kapakatwa🍆 hapa🤣]


he also added tht the whole african continent, solemnly are in the hands🤲🏽 of only kenya, south africa , nigeria and egypt. so the integration among these countries must be very strong, so as to ensure the economic well being of the entire continent....


cyril ramaposa here for u guyz... check this out!🔥🔥




Which school did you attend?
he also added tht the whole african continent, solemnly are in the hands

Who is Ramaphosa by the way, how can the whole African continent be in the hands of corrupt and the hungry that can't even govern themselves?

In exception of Egypt, the rest are deadly explosives awaiting to explode.
 
Which school did you attend?


Who is Ramaphosa by the way, how can the whole African continent be in the hands of corrupt and the hungry that can't even govern themselves?

In exception of Egypt, the rest are deadly explosives awaiting to explode.
ila aliye na nguvu mpishe masera wangu..

kisa....

maskini(ldc) hana usemi, hivyo kusema hana haki..

pia 👉🏽nyinyi mkiwa moja wepo!🤣 hakuna kukwepa hapa. mme shikwa mateka ili pia nanyi mpigwe miti🍆 kama wenzenu wengine, mkiwa pamoja na kina burundi, chad, southsudan, liberia, central africa republic and so on and so forth.
mtajua hamjui🤣 u ll knw u don't knw
 
Huyu jamaa anasahau kua TZ ndiyo iliyowafurushwa M23 wakawa Uganda ile kitu ileleta nongwa EAC ikazaliwa "Coalition of the willing" tukaingia mgogoro na Rwanda.Wacongo wanaamini TZ isipokuwa chini MUNUSCO inauwezo wa kulisaidia jeshi la Congo kuwafurusha.Shida waafrika tunatumika na mataifa ya kigeni kuwa daraja la kupora Mali za Africa
Tz haikuenda Kongo kama nchi bali ilikuwa chini ya UN.
 
Back
Top Bottom