7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Mnanivunja mbavu zangu hukuAngalia Ukungu natural ulivyo mzuri, sio ule wa fungus kwenye lens ya Camera ya simu![]()






Mnanivunja mbavu zangu hukuAngalia Ukungu natural ulivyo mzuri, sio ule wa fungus kwenye lens ya Camera ya simu![]()






Tutumie maneno yenye heshima wakuuu.Magufuli was a fool
Huyu jamaa anasahau kua TZ ndiyo iliyowafurushwa M23 wakawa Uganda ile kitu ileleta nongwa EAC ikazaliwa "Coalition of the willing" tukaingia mgogoro na Rwanda.Wacongo wanaamini TZ isipokuwa chini MUNUSCO inauwezo wa kulisaidia jeshi la Congo kuwafurusha.Shida waafrika tunatumika na mataifa ya kigeni kuwa daraja la kupora Mali za Africathe likes of Ramaphosa ndio wanaua misingi ya SADC!
Kichaa huyo hata kuandika hajui, achana naye.Hahaha wewe tuliaa... Wenzako Walikuja hivyo hivyo Sasa wamekimbia baada ya kujua ukweli..
Uzi ulikuwa wa moto huu punch afta punch ila saiv wote wametoka mbio baada ya kujua ukwelii
then if u don't have crash on beautiful ladies.. u must be having some sought of issues...
u must be seeing out men u game over...
as in, u Must be Gay⚧ aky walai!
.....
wah!game over , am starting to fear u meeen.... yani, nyinyi ni wale wasee wa Manyu United
wasee...! hii tena ni gani.!
heb njooni msikie hii!..
Dar es Salaam pia kuna mahoteli? 🤣 🤣Zanzibar imeizidi Mombasa kwa mbali sana na linapokuja suala la mahoteli hakuna mji hapa EA unaigusa Zanzibar hata Dar inasubiri.
Ujinga mtupu. Mlifundisha nini?Mali zisiiibwe?mbona zetunapewa suti,tende ,madenu mmatoa tuu. Kuna vitu mkipewa kazi kwa sababu wengine hawapo tayari mnaanza Yale mambo ya akin muhongo kukaribishwa na watafiti wa kimataifa ili msiachwe sana na dunia. Muone kidogo macho yawe sagi na mkirudi matakoni mwa dunia bado mkafunfishe watoto wenu kilichobaki..Huyu jamaa anasahau kua TZ ndiyo iliyowafurushwa M23 wakawa Uganda ile kitu ileleta nongwa EAC ikazaliwa "Coalition of the willing" tukaingia mgogoro na Rwanda.Wacongo wanaamini TZ isipokuwa chini MUNUSCO inauwezo wa kulisaidia jeshi la Congo kuwafurusha.Shida waafrika tunatumika na mataifa ya kigeni kuwa daraja la kupora Mali za Africa
Kwenda zako huko!Labda niwasaidie way wenzangu. Natural resources zote mnazopost hapa kijinga sio fahari Yenu Ila ya Mungu. Na nyie hamjaongeza value yoyote. Mmejikuta hapo km vile samaki na wanyama na ndege wamejikuta. Kwa hiyo tutumie akili kidogo kuondoa aibu.
Jambo jingine muhimu sana sana zaidi ya hayo ma white elephants kwa nchi zote ni hili.
Wote wana punch beyond their reach.. Ila Kenya Wana afadhali. Vitu vingi Wana afford. Wanavitumia vyema na wanalipa kwa kiasia wanaweza maintain. Tanzania kila kitu lipo abused and underutilised. Sio sustainable.
Kwenda zako huko!
Kwenda zako huko!
Kwenda zako huko!
Kwa hii post. Ni ngumu kuamini kuwa unalewa hata ulichopostKichaa huyo hata kuandika hajui, achana naye.
Wati iz this? Ze kualiti of ze kamera thou 😅😂..
Hivi kuna anayemuelewa huyu? Mbn wakenya huwa hawaeleweki kabisa wanachoongea!! Huwa najiuliza hivi hawa huwa wanaelewana kweli? Mana hata wakiwa kwenye mijadala huko twitter cjui huwa wanaongea manini, yn hawaeleweki kabisa hawa jamaa.Ujinga mtupu. Mlifundisha nini?Mali zisiiibwe?mbona zetunapewa suti,tende ,madenu mmatoa tuu. Kuna vitu mkipewa kazi kwa sababu wengine hawapo tayari mnaanza Yale mambo ya akin muhongo kukaribishwa na watafiti wa kimataifa ili msiachwe sana na dunia. Muone kidogo macho yawe sagi na mkirudi matakoni mwa dunia bado mkafunfishe watoto wenu kilichobaki..
Mkitoka hapo ndio mnaanza kujidai tafiti ni zenu. Sijui jamaa wanachukua idea zenu wanageuza zinakuwa zao.
Ujinga na umbra wa kiarabu huu. Wao ndio wanadanganya majinga elimu zote zimetoka kwao. Damn kama vile processor ya computer iliwahi fikiria hata na making wao.
Huyu naye nna wasi wasi na simu anayotumia, huenda naye akawa kama mzee wa ukungu








Huyu naye ni kama mzee wa rooftop, Wakenya wengi wa humu hawana uwezo wa kumiliki japo simu tu.Wati iz this? Ze kualiti of ze kamera thou..
ndo mana wanaogopaga kupost picha za waliopiga wao wenyewe.. afu huyu ndo alisema anafanya kazi ikulu ya kenya?
![]()